Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Habari za jioni wana Chit-Chat!
Nimefuatilia kwa makini suala la Chimbuvu na Madame B na kugundua ubabaishaji mkubwa wa mwenyekiti wa kamati ya mahusiano CC.
Kwanza,mwenyekiti alitangaza kuvunjwa kwa ndoa kati ya watajwa hapo juu mara mbili,agizo ambalo halikutimizwa.
Hii inadhihirisha mwenyekiti Baba V ni mbwa asiye na meno;yaani mbwa koko.
!
-Mbaya zaidi,likaja suala la Baba V kumtaka kimapenzi Madame B,jambo ambalo mtuhumiwa hajalitolea maelezo ya kueleweka mpaka sasa.
-Na hili la kuvunja ndoa ya loya na Madame B,ilhali hakuna malalamiko yoyote loya aloyaleta humu inadhihirisha ubabaishaji wa baba V.
Napendekeza maandamano makubwa ya kumng'oa Baba V yafanyike.

Last edited by a moderator: