WITO:Baba V ajiuzulu,kazi imemshinda.

khe khe khe!kumbe unaoa lini na yule binti nanihiii imekuwaje ushambwaga au?watakuloga watuuuuu ooooh!mi miss wewe sana tutafutana maana kijana huonekani au ndo maadalizi

yah!ngoja nijibu kwa niaba yake,huby wangu Ruttashobolwa amebanwa c unajua ndoa tena ya kifahari ina mambo mengi?tukitoka fungate tutakukaribisha nyumbani usijali wifi yangu wa hiyari,miss u toooooo!
 
Back
Top Bottom