With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Hahahahaaa ishapita Mungi au we bado uko mwaka 2012 ?

Mimi hata Dec 2012 nilikuwa bado sijawa na mke. Nilimchumbia Lily Flower 2013, baada ya kumpa ujaukilo nikaadivataiz nafasi ya uhausigeli, sweetlady akaibuka mshindi. Na anaendelea kuhausigeli mpaka sasa...........
 
Last edited by a moderator:
Nami nakushauri u s i m w a c h e m u m e o, mpaka kieleweke. Mtuige sisi, Lady doctor atakupa mbinu za kukabiliana na kina Bishanga, PakaJimmy, Kaizer, Ruttashobolwa na wakware wenzao kina Filipo.

BCC Erickb52.

Shindwa shetani!!!?

Mke wangu marejesho usisikilize maneno ya PakaJimmy! Ameingiwa na pepo mvunja ndoa!
Arabela nitakutafuta tuizungumzie siri yetu!
 
Last edited by a moderator:
Nami nakushauri u s i m w a c h e m u m e o, mpaka kieleweke. Mtuige sisi, Lady doctor atakupa mbinu za kukabiliana na kina Bishanga, PakaJimmy, Kaizer, Ruttashobolwa na wakware wenzao kina Filipo.

BCC Erickb52.

We nae toka uopolewe na lile jimama kambi ya fisi umehamia analogia..... Utajiju na bado

Mdada hebu kaa kitako utupe habari kamili, unasema Filipo amempata mmama wa HYENA CAMP...? Na marejesho je?

Hivi Baba V hayupo kazini siku hizi!
 
Last edited by a moderator:

sisy kumbe kulikua na party?
daaah nimeikosa ila hata kama nimechelewa
happy birthday Erickb52,haki ya nani keki yangu nadai!!
 
Last edited by a moderator:

sisy kumbe kulikua na party?
daaah nimeikosa ila hata kama nimechelewa
happy birthday Erickb52,haki ya nani keki yangu nadai!!

Heeeee sisy ulikuwa wapi siku zote? Keki shemu alikuchukulia mdai akupatie!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…