With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

binamu ujue ntakuwa nakuogopa...........manake akitokea mtu kama Mamndenyi akakutupia kibiriti kwenye sheli zako...........umekwisha!!!
Bora upoe kama maji mtungini kwa kuwa mapendo kwa binamu hayafi. Poa moyo binamu Mr Rocky!
 
Last edited by a moderator:

Si umemuona hapo juu Paloma
yaani full majanga aise maana nikimess up tuu nina kibiriti naona bora ninyamaze
Hivi sosoliso alifika nyumbani salama maana juzi alikunywa pombe kali na kuanga kuongea kiinglish tuu meza nzima tukawa hatumuelewi maana sisi wa st kayumba ni balaa
 
Last edited by a moderator:

hahaha acha tu binamu.........alifika na nusu mzinga wa grants....tukaanza kunyang'anyana ili nimpe maji walau kilevi kipungue! nna kazi binamu..........!!!
 
hahaha acha tu binamu.........alifika na nusu mzinga wa grants....tukaanza kunyang'anyana ili nimpe maji walau kilevi kipungue! nna kazi binamu..........!!!

Sikuamini siku hiyo kama sosoliso angefika home maana kiinglish alichokuwa anaongea kigumu hatukumuelewa na hapo hapo ameshautwika ikawa balaa
Binamu Paloma ila jamaa ana kichwa cha kuzuia pombe aise
 
Last edited by a moderator:

Aiseee Mr Rocky kumbe nikinywa ninaongea kiinglishi kikali nikishapata masanga..?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…