With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Ndio umwache sasa mke wangu aisee kwanini unamfuatafuata?

Hivi mkeo Chocs hajakuambia mahusiano yetu aise ni binamu yangu so nina haki ya kuchat nae na kutoka nae bana

binamu upo? hakika nimekumiss sana binamu.......haswa vile unavonipaga sababu ya kucheka!!! barikiwa binamu yangu!


Binamu Paloma nimekumissije aise wacha tuu bana
Nipo binamu yaani sijakuona siku kadhaa mpaka karibu nipate bp na oilcom na shell na total kwa wakati mmoja
 
Last edited by a moderator:

Mdogo wangu beibe nasty anakuhusu nini!???
 
Last edited by a moderator:
and laying is a proffessional like any any other ,so not all are lairs and not all are solders

Kosea njia utaelekezwa, lakini usikosee lugha...tuliza kichwa unapoandika comment ya jf. #sijakuelewa Nivea
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…