Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Asante sana mdogo wangu KOKUTONA.
Hope ulikuwa na good Easter...... Mine ilikuwa mbaya sana. Ijumaa Kuu nilifiwa na my shem ambaye alikuwa karibu sana na familia yangu. Pasaka yoote tulikuwa msibani na tumezika Jumatatu ya Pasaka.
RIP my shem, We really miss you!!!!!

Last edited by a moderator: