Wishing you a holy good friday

Wishing you a holy good friday

Halafu wewe sikukuu umeilia wapi Mkuu..? Maana pande zote za ibada hukuonekana au ndo ulikuwa milimani huko..?

Nilikuwepo mkuu hapahapa dar, si unajua dar sasa hivi ni kilimo cha kambale, kwenye ibada zote nilikuwepo kasoro zile za monde, tutafutane mkuu japo kwenye tafakuri
 


Nashukuru kwa salamu
Majukumu ya nji hii yamenizidi hadi nasahau kuongea kwa vidole
Ila tupo pamoja
Nitaanza kuijongelea tarakirishi mpakato tena

Wasalaam
Bazazi
 
Napenda kuwatakia wadau na mmarafiki woote I jima a kuu njema.
Kumbukeni kutafuta AMANI na watu wote na kwamba amri kuu ni UPENDO.


Dark City
babu yangu holy good friday, Mume wangu kipenzi Eli79 Mwanyasi, kyanaKyoMuhaya , Fixed Point, @C6, charminglady Arabela, Ladymasa, Erickb52, BAK, CHUAKACHARA, @YYNNAH, Preta, PakaJimmy, kabanga, kiwatengu, shansarie, Kaizer, KakaKiiza, Arushaone< Mr and Mrs Filipo marejesho, Blaki Womani, Lily Flower, Preta, Maxence Melo, Jiwe Linaloishi, babu yangu Asprin, Mtambuzi, Mkirua, Madame B, amu, @Chocks, gfsonwins, IGWE, liverpoolFC, Mzee wa Rula, AshaDii, Mentor, Zinduna, kabanga, TANMO, Boflo, Nicas Mtei, The Boss, Mamndenyi, snowhite, BHULULU, janeth1, DEMBA, Valentina, Excel, Washawasha, Blue G, sweetlady, Lady doctor, Heaven on Earth wewe tukutane jumamosi saa 10 jioni, Eiyer, Karucee, Slave, Mr Rocky, Mwita Maranya, watu8, miss neddy, Ruttashobolwa, Mutta, Passion Lady, nitonye, Munkari, Baba V, Chimbuvu, judgement, Smile, Tized, Tuko, sosoliso, Paloma, Nivea, Fidel80, Vin Diesel, Ennie, mzabzab,

Na wooote kabisa, nawapenda sana eee

Tupia pia wishes zako kwa wapendwa wako hapa......
pamoja ya kuwa nimechelewa nami nakutakia siku njema na maisha mema na yenye baraka tele.
nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom