Wishing you a holy good friday

Wishing you a holy good friday

Thx for the greetings.. hope you had a good one, and you r still enjoying the easter

yeah pasaka ilikuwa njema sana kwangu nimeenjoy vya kutosha
lakini kwanini umeadimika sana siku hizi
 
Mi nashangaa. Kwenye thread zingine mtu akupondeeeeeee na maneno ya ajabuuuuu kutafuta sifa za kijinga.

Halafu anakuja anajifanya anakupa salamu. Ananipa salamu mimi kama nani wake? Anakufanya kipofu huoni ama anaku kejeli?Nonsense!!

Nasema hivi, mie Karucee its either you ---- off ama uwe straight sio kung'ata na kupuliza. I ain't stupid.

Na kutajwa ovyo sitaki.

Kumbe we unatutajaga kinafiki sikujuaa kwa hilooo bibiee
 
Last edited by a moderator:
Kumbe we unatutajaga kinafiki sikujuaa kwa hilooo bibiee

Mara ya mwisho kukutaja ilikuwa kabla sijajua mienendo yako.

Refer back to my previous mentions uone mara ya mwisho hata kukuquote ni lini.
 
Last edited by a moderator:
Hayaa popote walipooo Gogle pole kwa kifungo Excel amu TATIANA [MENTION=116444]ladykim/MENTION Gossipcowarumi lusungo Evelyn Salt, Tyta Karucee Jerrymsigwa Olesaidim qn of sheba ICHANA makoyo Majigo bila kumsahau mke mwenza wangu nyumba ndogo ambayo haina adabu abakorakamo pokea salam huko huko gerezanii ukirud utanikuta nimejaa telee kama ubwabwaa upoooooooooo

nawatakia ijumaa kuu njema na safi mbarikiweeeeee

Nimesharudi, hivi kuumuliza mtu Kama Ana undugu na Agnes masogange kwa kumfananisha shepu yake kwa nyuma ni kosa la kupigwa ban?


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Nimesharudi, hivi kuumuliza mtu Kama Ana undugu na Agnes masogange kwa kumfananisha shepu yake kwa nyuma ni kosa la kupigwa ban?


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

Hahhhhhahhha eee ukichongewaa unabanikwaaaaaa
 
amaaaa...............yani kweli unathibitishia ulimwengu wa jf kuwa smolu hauz yako ni babe Passion Lady.........
subiri..............ukigeuka upepo usije kulia.............

Jaman hunie Paloma mbona umekuwa mkali hivyo..? Unajua KOKUTONA anatengeneza bifu kati yetu.. Wajua mapenzi yangu kwako.. Mi lavu yuu sana..

UNajua hata mimi nilibaki kuduwaa, hadi nikajiuliza sosoliso nae #team bazazi??????

Yaani mie ni #teambazazi ..? nitake radhi tafadhali..!
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wapendwa....imekuwa siku nyingi sana sijakanyaga jamvini, nafurahi kuwaona mkiwa wazima wa afya tele.
Muwe na siku njema.
VD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom