Wishing you a holy good friday

Wishing you a holy good friday

Mwambie Slave aje Tanga ili apewa shule ya kutosha....

Kitendo cha kuhoji nafasi ya mwenyekiti kinaweza kupewa tafsiri ya hatari, especially na baadhi ya watu ambao misimamo yao siyo ya kuremba remba!!

Halafu tunakutana lini?

cc: Mwanyasi...
Dark City babu ahsante san kwa ufafanuzi mzuri kwa Slave, aje asome hapa na asiondoke bila kusema neno
 
Last edited by a moderator:
mine too goes to my wife, one and only, my queen... miss neddy!...

mwanangu mpendwa..... nameless girl... love you much my princess!

all my best friends and jf members, Mr Rocky, Eiyer, Tized, Mndengereko, utafiti, miss chagga, Karucee, DEMBA, (@maria roza.. uko kwenye bracket..), KOKUTONA and Eli79, binam yangu mango g, Window7, J.lee, Exceptional, Rich Polna mbebez wake charty, kiwatengu and shansarie, wakwe zangu wa ukweli Lady doctor na Arushaone, uran na mkewe 'Valentina', ICHANA, ameline..,,, Jerrymsigwa, OLESAIDIMU.. nk! ...

guys, i missed you all, i missed you a lot!--- happy holy friday!
Dadiiiiii... are you doing great?
Sikukuu njema.
Love you soooooooooooooooooooooooooooooooo... much...
 
Hayaa popote walipooo Gogle pole kwa kifungo Excel amu TATIANA ladykim/MENTION Gossipcowarumi lusungo Evelyn Salt, Tyta Karucee Jerrymsigwa Olesaidim qn of sheba ICHANA makoyo Majigo bila kumsahau mke mwenza wangu nyumba ndogo ambayo haina adabu abakorakamo pokea salam huko huko gerezanii ukirud utanikuta nimejaa telee kama ubwabwaa upoooooooooo

nawatakia ijumaa kuu njema na safi mbarikiweeeeee

Mi nashangaa. Kwenye thread zingine mtu akupondeeeeeee na maneno ya ajabuuuuu kutafuta sifa za kijinga.

Halafu anakuja anajifanya anakupa salamu. Ananipa salamu mimi kama nani wake? Anakufanya kipofu huoni ama anaku kejeli?Nonsense!!

Nasema hivi, mie Karucee its either you ---- off ama uwe straight sio kung'ata na kupuliza. I ain't stupid.

Na kutajwa ovyo sitaki.
 
Oooh calm down Karucee
 
Last edited by a moderator:
aiseeeeeeeee asante sana nimeamka sioni vizuriiii kizunguzunguuuuuuuuuu na dunia kama inayumbaaaaaaaaaa
 
Mi nashangaa. Kwenye thread zingine mtu akupondeeeeeee na maneno ya ajabuuuuu kutafuta sifa za kijinga.

Halafu anakuja anajifanya anakupa salamu. Ananipa salamu mimi kama nani wake? Anakufanya kipofu huoni ama anaku kejeli?Nonsense!!

Nasema hivi, mie Karucee its either you ---- off ama uwe straight sio kung'ata na kupuliza. I ain't stupid.

Na kutajwa ovyo sitaki.

mhhhhhhhhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom