Hahahaaaaa mwambie aje na mgeni mmoja kwa ajili ya kukaa namimi haitebo
Jinsi zingatia tafadhali(KE)
Ningejua ningejipanga mimi kukuogesha lol !
KwikwikwikwikwikiwkwiiiiiiiiiiBanana pia si unajua msimu huu zinasumbua eeh ?....sahivi ni mlinzi pale arusha secondary lol !
Au kashikwa na wivu kuona Vin Diesel ndio anamiliki mtoto wa jijini Ar?Mie pia kanistua ujue ! Ngoja arudi aseme kulikoni kati kati ya sherehe anaingiza kesi !