Naidownload now and ntawapa majibu namna inavyofanya kazi baada ya siku chache za kuitumia
acha fix wewe. Win 8 itakua released mwishoni mwa mwezi wa kumi, hata Nokia Lamia haijatoka na ndo itakayointroduce win8. Check sources zako vizuri
Tofautisha Windows 8 na Windows Phone 8, jamaa abaongelea Windows 8 ya Computer sio ya Simu
yeah microsoft corp wataintroduce win 8 to the world kwanza kwenye hii device ili wa2 waanze kupata feel of win8 afu ndo wanalipua win 8 kwa PC. Saw this on BBC click. Kipindi cha latest tech hiki
baba mzazi mm ninayo kwenye laptop yng,ila inaniboa haina wireless drivers kiasi cha kwamba cwez ku-access any wireless connection networks near me labda niwe na modem au nitumie cable,au kuna vitu natakiwa kufanya ila ipo bomba sana,nisaidie kama utaweza man,laptop yng ni mecer new brand kabisa

Aaah mtu mzima taratibu wewe. Mbona ipo mtaani kitambo tu. mimeiweka kwenye pc mda tu, ndo hivo lakini haijatulia tu.
,poa man,vp kuhusu windows 7 huwa inakuwa na hzo drivers za wireless network moja kwa moja,kama vp niinstall hyo hyo tu
Mkuu mbona windows 8 pro washa release kitambo mi nimeshaijaribu nimeona ipo very compleceted nika unstallyeah microsoft corp wataintroduce win 8 to the world kwanza kwenye hii device ili wa2 waanze kupata feel of win8 afu ndo wanalipua win 8 kwa PC. Saw this on BBC click. Kipindi cha latest tech hiki