Windows 8 is out for use

Ndugu na jamaa, niliwaambia nilikuwa na download windows 8, Nimemaliza na nimepata siku 90 za kuifanyia evaluation na leo ni siku ya pili naitumia. Mpaka sasa haya ni maoni yangu.
  1. moja ina muonekano mzuri sana ila iko extremely complicated
  2. ina features nyingi sana lakini zaidi ya 75% zinataka uwe connected kwenye internet
tupe link na akina sisi tuipate
 
Wakati ule nilisema nilikuwa naifanyia evaluation windows 8, but now nimepata windows 8 pro kwa ajili ya 32bt pamoja na 64bit. Unaweza kuidownload kutoka kwenye link hii http://full-packs.com/wp-content/uploads/2012/05/WINDOWS-8.png halafu unaweza kutafuta activator yake kutoka kwenye moja ya post kwenye jukwaa hili. Its a must have windows experience
 
Bure au inauzwa?:crying:
Utaidownload bure, then kwa chini kuna keys zimewekwa so utaziweka hizo wakati wa kuinstall (Mi nimetumia za retail) kisha utadownload activator coz baada ya kuinstall itakuwa bado haijawa activated so ukitumia activator utaiactivate na enjoy the seetness
 
Back
Top Bottom