UncleJoe
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 624
- 509
Kwa wale ambao hatuja-activate kwa ile njia ya kiboya ya Skype ni mda muafaka sasa naona activator kibao nimepakua moja imegoma niko hii ya Pili nikifanikiwa ntatoa feedback hapa hapa
Pia wadau tuingie Chimbo tuone kama hii kitu tutafanikiwa kui-activate sana sana sisi tulio-install ile iliyo leak
mimi nimetumia activator hii kwenye windows 8.1 build 9600 RTM
Download Activator Hapa
na imekubali kama natafuna keki
Fuata maelekezo haya
1. uwe connected kwenye net
2. kwenye folder uliloextract chagua file linaloendana na windows yako kisha right click na run as admin.... subiri mpaka activation keys ziwe installed succesifully itatokea message kuwa tayari
3. Run Winact1.4.1 as admin chagua version yako ya windows kisha chegua server bofya activate na usubiri.... baada ya muda message itakuja umekuwa activated
reboot na enjooooooooooooooy