Windows 8 Genuine 4ver Activation the right and not pirated way

Windows 8 Genuine 4ver Activation the right and not pirated way

Habari zenu wanajamvi?
Naombeni mwenye activator ya Windows 8.1 build 9600 anisaidie.
Nimejaribu KMSpico v4 imegoma. PC yangu inayo .Net Framework v4.5

Au kwa yeyote atakaeshauri kuhusu tatizo hili ili kuongeza ufahamu nitashukuru pia.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
kingine ni kuwa umeinstall window yako inamda gan kama ni zaid ya mwez utalazimika uinstall upya window ili ufanye activation
 
Asanten nyote mlionipa tafu.
Nimegundua windows niliyokuwa nayo haikuwa na key so ndio 7bu ilikuwa inagoma kuactivate.
Nimeinstall nyingine ikakubali kuactivate.

Tafadhalin mlio na ufahamu mzuri mctuchoke cc tunaojifunza.
 
Asanten nyote mlionipa tafu.
Nimegundua windows niliyokuwa nayo haikuwa na key so ndio 7bu ilikuwa inagoma kuactivate.
Nimeinstall nyingine ikakubali kuactivate.

Tafadhalin mlio na ufahamu mzuri mctuchoke cc tunaojifunza.

sasa usisahau ku disable automatic updates
 
Usipodisable auto apdate inakuwaje mkuu?
uwa zinainstall genuine activation checker kuangalia km iyo window ni genuine au la, then kanakuja kamessage your copy is not genuine..
ila kama unatumia preactivated copy uwa ni mpeto tu... Ukitaka update fanya chochote haina shida
 
mm nlitumia km spico tuu na updates zpo on bado sjadakwa.....
 
Site:jamiiforums.com KMSPICO 9

Copy hayo maandishi kisha paste katika google.com, Utatumia hiyo tool kufanya activation ya Windows 8.1 Masele Joe
 
Last edited by a moderator:
msaada tafadhal wa key za microsoft office 2010.
 
nenga google na hakikisha window hiyo hainjatumika siku zaid ya 21
 
Rahisi Nenda Kwenye Torrents Tafuta Km Spico Kuanzia 9.2 na kuendelea
 
Back
Top Bottom