Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7

hio comment yangu kama umeisoma vizuri imegawanyika mara mbili windows ya sasa (win 10) na windows za zamani.

ili usipate auto updates inabidi uwe na win 10 pro au enterprise/education. home ina auto updates

pia ukieka metered connection pc haiwezi kuji update yenyewe sababu umeiambia kuwa bundle yako ni ndogo
Chief-Mkwawa Hapo kwenye metered connection ndo umeniacha mkuu..!!
ImageUploadedByJamiiForums1454739343.175703.jpg

Hii screenshot ni ya updates ambazo zime stuck hapo kitambo tuu na nashindwa cancel pia chini ni setting pekee nazoweza zifanya japo natumia W10 Pro
ImageUploadedByJamiiForums1454739463.011945.jpg

Tafadhali kama waweza nisaidia chochote hapo maana "I can only schedule installing updates ila sio kuchagua ku download ama kuto download updates hizo.
 
Kama natumia cracked version ya win 8.1 niki install updates za windows kuna tatizo??? Itaniletea shida kwenye window??
sometime unaweza dakwa, pc yako ilikuja na windows gani? kama ni 7 tumia key zako za 7 (cheki chini ya laptop) then eka windows 10 halafu activAte na hizo key
 
Chief-Mkwawa Hapo kwenye metered connection ndo umeniacha mkuu..!!
View attachment 321415
Hii screenshot ni ya updates ambazo zime stuck hapo kitambo tuu na nashindwa cancel pia chini ni setting pekee nazoweza zifanya japo natumia W10 Pro
View attachment 321417
Tafadhali kama waweza nisaidia chochote hapo maana "I can only schedule installing updates ila sio kuchagua ku download ama kuto download updates hizo.
ukiwa na home version huwezi ku opt out updates (inaweza kuchange baadae) mpaka uwe na pro au enterprise.

na metered connection ipo kwenye wifi setting then advanced ukiieka on pc itakuwa haitumii data zako lakini utalimbikiza updates, so ukiwa na bundle ndogo ieke on na siku ukiwa na bundle kubwa ieke off.

kama unaona inakuzingua hivyo update toka home hadi pro au education au enterprise hizo unaweza eka off updates
 
ImageUploadedByJamiiForums1454750055.781943.jpg

Sikusema kwamba natumia Home Chief-Mkwawa labda kama kuna Pro nyingine zaidi ya hii ninayoitumia (nilifikiri ungepaona hapo nlipopaonesha sasa hivi kwa hizo arrows).

Wacha nitafanyia kazi hilo la setting ya Wi-Fi maana sikuwahi gundua kuna option hiyo.
 
View attachment 321473

ok nimekuelewa nimecheki net huwezi kucancel kabisa updates bali unaweza kudelay tu usiziweke sasa hivi mpaka baada ya kipindi fulani (nafikiri hata 7 ilikuwa hivi)

hilo neno hapo chini defer upgrades umejaribu kucheki maana yake? naona lina maelezo zaidi
 
mi machine yangu inasumbua ku update winwow10
hii ni kwanini?????????
version iliyopo ni window 7 ebu nipe jibu mkuuu
 
ok nimekuelewa nimecheki net huwezi kucancel kabisa updates bali unaweza kudelay tu usiziweke sasa hivi mpaka baada ya kipindi fulani (nafikiri hata 7 ilikuwa hivi)

hilo neno hapo chini defer upgrades umejaribu kucheki maana yake? naona lina maelezo zaidi
Kwangu huu ndo ugonjwa upo kwenye windows 10 japo wenzetu walio na net za uhakika ndio wanaifaidi nimehangaika nayo mda ila hakuna namna. Tasks za kawaida ipo vizuri ila za kujiongeza inabidi tuu uwe na mashine nyingine yenye windows 7
 
Mi ni Ubuntu addicted user penda Sana Linux.
 
Chief naomba kuuliza kitu nna pc ambayo kwa sasa ina windows 8 pro but nlivoinnua ilkuwa na windows xp professional
So nnachotaka kujua ni kuwa mfano nikidownload windows 7proffession ambyo sna key zake nikiweka hizi za xp hapa kwenye pc ztakubali?
 
hazitakubali, kutoka xp kuja 7 ni lazima ulipie.
 
Mkuu mim nmefanya dual installation ya Win 10 edu na Win7 Ult
Huwa napush heavy duty Stuff zote e.g. Games kweny Win 7.
Win10 naipenda sana na nmeiweka tu ili kupush very light stuff kama kubrowse, youtube, email, Docs, kuplay movies n.k.
Hiv Win 10 inaweza push heavy stuff kwel na ikawa stable?
 
ndio hasa games na vitu vinavyohitaji graphics.

kama una gpu inayosuport direct x12 na game/app husika inasuport hio direct x basi utapata perfomance kubwa sana kwenye win 10.

pia unaweza kuwa na gpu kimeo ambayo hata driver ya win 10 haina utapata perfomance mbaya win 10
 
laptop yangu ina w8 enterprise iliwekwa dukani wakati nilipo inunua, shida iliyopo nashidwa ku upgrade kwenda 8.1haipo kwenye store hii vipi nalazimika kununua hiyo w8.1 upya????
 
8.1 ni free.

why usiende 10 moja kwa moja?

eka automatic windows update halafu eka bundle ya kutosha iache itaji update
 
Back
Top Bottom