Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7

Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7

kwani linux ndio hakuna updates? na update ni kwa faida yako ina solve bugs na pia security updates zinakulinda.

pia windows 10 unaweza kuilock down isipate updates ukawa unatumia tu, na feature hii imefanya kampuni nyingi kuruka toka windows xp kuja windows 10. mfano ATM machine
Mkuu kwann makampuni mengi kama taasisi za fedha hapa tz wanatumia XP?
 
Mkuu kwann makampuni mengi kama taasisi za fedha hapa tz wanatumia XP?

kama nilivyoeleza hapo juu os za zamani zinakuwa stable sababu bugs nyingi zimeshakuwa fixed.

pia kunakuwa na legacy software ambazo zinafanya kazi vizuri kwenye os za zamani.

ila umoja wa atm wameshakubaliana kuhamia windows 10 na makampuni mengi yanahamia 10 sababu unaweza kuilock down mahala unapoona ipo stable.
 
Hello guys! Nimefuatilia vizuri sana huu mjadala wa Win10. Binafsi nina HP630 ikiwa na AMD Vision processor.
Shida nilokuwa nayo ni kuwa hapa juzi kati nili-upgrade from Windows7 Ultimate to 10.
Mara ya kwanza nili-experience Black Screen. Ila baadae nikaweza kufix hiyo problem baada ya kuileta issue jamvini hapa na pia baada ya kupitia other forums.
Win10 niliipenda sana hasa UI yake. Ila badae nikaanza kuexperience mambo yafuatayo;
*ukiweka movie inakuwa inastuck regardless ya player utakayotumia. Yaani hadi VLC full ku-stuck. So ikapoteza raha ya video.
* Shida nyingine nilokuwa nayo ni kuws baada ya upgrade ngoma ilikataa kabisa kudetect projector na wakati PC hii ndio huwa nafanyia presentation hapa kazini. So nilikwama wakati PC hii hii ikiwa na Win7 niliweza kufanyia shughuli zangu zote.
So hatma ya yote pamoja na kuipenda sana Win10 I had to downgrade to the same good old school Win7 kupunguza stress.
Ila sasa na huku Win7 kuna issue na kutana nayo. Kila niki-right click inanileta message ya Windows Explorer has stopped working then inafunga all the open windows. How do I handle this problem?? Cc: CHIEF MKWAWA
 
hizo issue za juu zote zina kitu kimoja kinachofanana nacho ni graphics, huwenda hukuweka drivers za graphics ndio maana ikawa inazingua mambo yote hayo

kuhusu explorer ikijifunga huwa app hazijifungi ila tu unakuwa huzioni sababu taskbar nayo inapotea unaweza kuswitch toka app moja kwenda nyengine kwa kutumia keyboard shortcut ya alt+tab

kabla ya kutafuta solution windows yako ipo updated mpaka version ya mwisho? ni service pack 1?
 
mkuu Chief-Mkwawa hivi hizi 5th generation and 6th Generation intel processors bongo zishaingia kweli, maanake huko dukan mpak sas bado nakutana na series ya 4k tu!
 
mkuu Chief-Mkwawa hivi hizi 5th generation and 6th Generation intel processors bongo zishaingia kweli, maanake huko dukan mpak sas bado nakutana na series ya 4k tu!
5 pia zipo nimewahi ziona u series

ila 6 sijawahi ziona ila i hope pia u series zipo.

ukizunguka zunguka madukani utaona computer za i3 5005u hizo ni broadwell (generation ya 5)
 
Hivi chief ukitaka nina hp core i7 ina Amd gpu nasukuma ma game makali kama gta v dirty 3 euro truck simulator latest version but ni crack version na steam zote. Windows yangu ni 8.1 pro inaniletea ku update to windows 10 pro je programs zangu za game zitakuwa vile vile kama unavyo update android phone apps zinabaki vile vile au italeta my computer na recycle bin tu kwenye deaktop after upgrade
 
uki update vitu vyako vitabaki na ukifanya clean installation vitapotea, ila sikuhakikishii kama crack zako zitaendeleA kufanya kazi zinaweza zikafanya au zisifanye
 
Mie sio mtaalamu sana wa hizi computa ila nimekuwa mtumiaji sana wa computa kwa muda mrefu na nimetumia window nyingi xp, 7, 8 na sasa niliupdate to 10. Naona window 10 iko powq sana, naipenda maana imeongeza speed ya pc yangu, ishu ya virus imepungua, then naipenda internet explorer iko very fast, pia ishu ya ads imepungua kama sio kwisha kabisa.
Kiujumla naona ni powa kwa matumizi ya kawaida, labda nyie mnaotumia kwa mambo mengine technically zaidi ndio mnaona mizinguo.
 
Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7

1521-net-market-share-jan-2016.jpg

Six months after launch, Windows 10 has finally leapfrogged over both XP and 8.1 to become the second most popular desktop operating system in terms of Web traffic.

In January, Windows 10 snagged a global market share of 11.85 percent, up from 9.96 percent in December, researcher Net Market Share reported Monday. The latest number showed a healthy upturn following several months of slower growth in adoption.

At the same time, Windows XP usage actually inched up about half a point from last month to 11.4 percent, while Windows 8.1's cut of the market remained flat at 10.4 percent

The increase in market share for Windows 10 signals that the new software may finally be getting a measure of mainstream awareness. Following the poor reception to Windows 8, Microsoft is eager to prove that its successor, Windows 10, is an appealing and user-friendly operating system.

Windows 7 and 8.1 users have six months left to take advantage of the free Windows 10 upgrade, which is good only for one year following the software's release on July 29. After the freebie expires this summer, Windows 10 will cost them $119 for the Home edition and $199 for the Pro version.

Windows 7 kept its lead among desktop operating systems last month, but its share dropped to 52.4 percent from 55.6 percent in December, a sign that more people are jumping ship to Windows 10.

Microsoft has been pushing the free upgrade through frequent pop-up reminders, which some may find annoying but which have undoubtedly helped trigger the increase in Windows 10 adoption. Windows 10 is still listed as an optional upgrade, but Microsoft said it will change that status to a recommended upgrade early this year, which could prompt more people to install it.

SOURCE: CNET
me natumia window 8.1 iko poa sana haina shida window difender ina fanya kazi vzuri kabisaa pia pc yangu n kubwa core i7 3.3 ghz processor hdd 500 ram 6 GB
 
Window 7 sijaona wakumpita window 10 kwakikata network kutokubali other apps hata kaspersky inaikataa ikiikubali ujue itablock net
 
Window 7 sijaona wakumpita window 10 kwakikata network kutokubali other apps hata kaspersky inaikataa ikiikubali ujue itablock net

Cha msingi mkuu ni kujua kwamba, mtaka cha uvunguni sharti ainame. Nunua windows 10, install na weka all updates na drivers...nunua anti virus ambayo ina-run na windows 10.

Hawa developers Siku zote wanapotoa OS mpya, lazima pia kwenye soko wadau wao watoe softwares ambazo zipo kwa ajili ya OS hiyo zitakazotumika kwenye Kompyuta mpya zenye uwezo wa ku-handle OS hizo.Fikiria tu kama unavyoona biashara ya simu na softwares zake.

NB: wale wa zamani pia tunaweza ku-upgrade lakini hakikisha unakidhi viwango otherwise utaumiza sana kichwa.
 
Back
Top Bottom