Wimbo wa Inama waweka rekodi Afrika Mashariki kwa kuwa na views milioni 2 kwa siku mbili tu

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
kWA MARA NYINGINE TENA SIMBA KAUNGURUMA

DIA.jpg

DIAM.png
 
Wenzetu wanafikisha hizo viewes kwa instagram ndani ya masaa tu, huu pia ni mwanzo mzuri natumai nasisi tutafikia hatua hiyo
 
Ile ngoma aliyoiba na kui sample kutoka Namibia ni ipi? Ndio hii au ile nyingine?
 
Back
Top Bottom