Wimbo wa Inama waweka rekodi Afrika Mashariki kwa kuwa na views milioni 2 kwa siku mbili tu

Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
2,214
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
2,214 2,000
Mshauri aumize kichwa asitembelee nyota za watu watampausha kwa copyright.
Ametembelea nyota gani, The one ya king cheba imetengenezwa chini ya WCB studio na producer laizer, baada ya kuona King hasomeki watu wakaiwekea Melody zingine na kuiboresha zaidi Simba akainvgiza verse.

King hakuwa na uwezo wa kushitaki kokote
 
carter

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Messages
2,478
Points
2,000
carter

carter

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2009
2,478 2,000

Ushasema wakaweka melody nyingine na kuboresha zaidi halafu bado unasema hujaona nafasi ya king kuahitaki?

Ku sample wimbo sio fraud kama ikitokea sintofahamu na mwenye wimbo orijino?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
2,214
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
2,214 2,000
Ushasema wakaweka melody nyingine na kuboresha zaidi halafu bado unasema hujaona nafasi ya king kuahitaki?

Ku sample wimbo sio fraud kama ikitokea sintofahamu na mwenye wimbo orijino?
Sio udanganyifu hata kidogo, King sheba hana hakimiliki ya wimbo wa The one.

Alifanyiwa hisani pale Simba alipoenda Namibia kuwa kuna beats ya laizer wako nayo haina mastering wanaweza ingiza vocal kisha aje Tz kuimalizia dogo akafeli hakuja bongo.

Diamond kama unamfahamu anapenda beats kali akamwambia laizer tuingize piano na guitars sound kwenye hii beats si tumalize mchezo ndicho kilichofanyika ndio maana King hajashtaki kokote zaidi ya kubwata mitandaoni kwa kifupi King ni underground nchini kwao
 
carter

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Messages
2,478
Points
2,000
carter

carter

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2009
2,478 2,000
Sio udanganyifu hata kidogo, King sheba hana hakimiliki ya wimbo wa The one.

Alifanyiwa hisani pale Simba alipoenda Namibia kuwa kuna beats ya laizer wako nayo haina mastering wanaweza ingiza vocal kisha aje Tz kuimalizia dogo akafeli hakuja bongo.

Diamond kama unamfahamu anapenda beats kali akamwambia laizer tuingize piano na guitars sound kwenye hii beats si tumalize mchezo ndicho kilichofanyika ndio maana King hajashtaki kokote zaidi ya kubwata mitandaoni kwa kifupi King ni underground nchini kwao
Hahahaah aisee.... And vice versa can be true too.
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,436
Top