Wimbo wa DESPACITO ulipataje hawa viewers zaidi ya Billioni 5?

Despacito ni wimbo wa msani raia wa Puerto Rico wa kuitwa Luis Fonsi akishirikiana na rapa wa nchi hiyo pia,wimbo huu una mahadhi ya kispain.

Kwa mujibu wa mtandao wa iTunes,Amazon music,Spotify,Youtube n.k wimbo huu umetazamwa mara bilioni 5.7+.

Turejee hapa.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi duniani inakadiliwa kuna wanadamu wanaoishi wapatao bilion 7+ ikiwemo watoto n.k.

Pia kwa mujibu wa taarifa mbali mbali inakadiliwa kua kati ya mwaka 2015_2020 dunia nzima itakua na watumia simu wapatao 5.4bilioni.

Pia kwa mujibu wa taarifa za mwaka 2018 dunia nzima inakadiliwa kua watu wapatao 134.1milioni wanaotumia laptops,tablets n.k.

Wakati huo takwimu zinaonesha watu 4,208,571,287 ndio wanatumia internet duniani.huku bara la ASIA wakiongoza kutumia internet kwa 44.8%,ulaya 16.8%,Africa 15.6%,latin america 10.4%,mashariki ya mbali 3.9% na zilizobaki mabara mengine.

Kwenye hili kundi la watumia internet 4.2bilioni kuna ambao hawana taarifa na wimbo huu,pia kuna wale hawana hobbie na mziki.

Pia katika jumla yote ya wanadamu hawa wapatao bilioni 8 wanaoishi katika sayari hii mpaka sasa robo yote ni watoto,huku lipo kundi la wasio jua kusoma na kuandika,pia kwenye kundi la watu wanaotumia simu wapatao 5bilioni kuna wengi wasio na smartphone.

Swali langu huu wimbo hawa views 5.7bilioni ulipataje?

Kwa watalaamu wa mambo haya naomba mnisaidie nami.

Nawasilisha.
kitu kizuri kinajitangaza chenyewe.sasa unatoa nyimbo alafu kelele kibao kwenye redio mawingu kuipa promo.kwani soja boy alijulikana vipi si kwa youtube.yule mchina ganga style.
sisi tunalazimisha sanaa.kuna watu wana vipaji vya kuleta watazamaji kutumia sanaa zao
 
youtube inahesabu views kila unapoiangalia hiyo video
tu assume umeiangalia hiyo video zaidi ya mara 100,then views 100 kwenye ili video itakuwa ni wewe.
pia kumbuka huu wimbo ni popular na umetrend dunia nzima
so kila mtu atataka kuona bila kusahau wale tunaoangalia na kureplay kila saa...
Hata ukiwa on repeat
 
Mkuu 2B haujafika huo wimbo alioimba na Demi... ndo kwanza una 1.6B...

Alaf hizo 2B huko dunian ni kawaida tu akina Sia na Taylor Swift wanafikisha bila wasi wasi!
Mkui bila wasiwasi???? Acha utani wewe 2B views sio simple kama unavyofikiri
 
Alikwambia mtu mmoja anaangalia mara moja ni nani?

Mtu mmoja anaweza view hata mara 1000 na zote zikahesabika...

Sijaona hata kilichokufanya uzi wako uulete jamii intelligence... kule Celebrities tu ungetosha....
Hqkuna kitu kama hicho........ decive moja inahesabika view moja.......hata uangalie mara 1000 kwenye simu,laptop na tablet yako inahesabika view moja tu labda uwe na hivyo vifaa 1000
 
Unatumia reference gani kupinga.. wengine tupo field na tunakula hizo hela za youtube na blogs..
Msiwe mnabisha tu... muda mwingine muwe mnakubali kujifunza!
 
Despacito ni wimbo wa msani raia wa Puerto Rico wa kuitwa Luis Fonsi akishirikiana na rapa wa nchi hiyo pia,wimbo huu una mahadhi ya kispain.

Kwa mujibu wa mtandao wa iTunes,Amazon music,Spotify,Youtube n.k wimbo huu umetazamwa mara bilioni 5.7+.

Turejee hapa.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi duniani inakadiliwa kuna wanadamu wanaoishi wapatao bilion 7+ ikiwemo watoto n.k.

Pia kwa mujibu wa taarifa mbali mbali inakadiliwa kua kati ya mwaka 2015_2020 dunia nzima itakua na watumia simu wapatao 5.4bilioni.

Pia kwa mujibu wa taarifa za mwaka 2018 dunia nzima inakadiliwa kua watu wapatao 134.1milioni wanaotumia laptops,tablets n.k.

Wakati huo takwimu zinaonesha watu 4,208,571,287 ndio wanatumia internet duniani.huku bara la ASIA wakiongoza kutumia internet kwa 44.8%,ulaya 16.8%,Africa 15.6%,latin america 10.4%,mashariki ya mbali 3.9% na zilizobaki mabara mengine.

Kwenye hili kundi la watumia internet 4.2bilioni kuna ambao hawana taarifa na wimbo huu,pia kuna wale hawana hobbie na mziki.

Pia katika jumla yote ya wanadamu hawa wapatao bilioni 8 wanaoishi katika sayari hii mpaka sasa robo yote ni watoto,huku lipo kundi la wasio jua kusoma na kuandika,pia kwenye kundi la watu wanaotumia simu wapatao 5bilioni kuna wengi wasio na smartphone.

Swali langu huu wimbo hawa views 5.7bilioni ulipataje?

Kwa watalaamu wa mambo haya naomba mnisaidie nami.

Nawasilisha.
Hapa kulikuwa na featuring ya mambo ya kiroho na dunia ya kiza, yani view moja inaji double zaidi ya mara 100
 
Hata ukiwa on repeat
Sidhani kama youtube ni wajinga kiasi hicho. Mind you kuna watu wanalipwa kuputia hizo views. Nadhani server ya youtube inasoma IP address ya kila computer ilioview. There is no way unaview mara mbili labda uwe on a VPN bana. I stand to be corrected.
 
Simple! Ni kama wanywa supu ya pweza barabarani japo mazingira si salama vimbi matope na jasho la muandazi. Ukionja tu huachi kila siku lazima urudi katika mwaka wa siku 365 unaweza rudi mara 209+!

Inawezekana walio utazama mwimbo huo kwa mara ya kwanza either waliuelewa sana na kuupenda or hawakuuelewa ila waliupenda hivyo iliwalazimu warudi mara kadhaa kuusikiliza.

Pia kuna robot!(software/script) za kufungua pages za mtandao
 
Sidhani kama youtube ni wajinga kiasi hicho. Mind you kuna watu wanalipwa kuputia hizo views. Nadhani server ya youtube inasoma IP address ya kila computer ilioview. There is no way unaview mara mbili labda uwe on a VPN bana. I stand to be corrected.

Uko sawa mkuu, ukitumia IP moja kuview huwa wanacreate session ya 6hours kwa hiyo video uliyoview kwa kutumia IP hiyo. Iwapo hujachange IP kivyovyote katika siku nzima ambayo ni 24hrs watakucount kama umeangalia hiyo video mara 3 na wakizidisha ni 5 with the same IP. Ila ukitumia IP changer nadhani unajua kinachotokea inasoma tu mpaka waishtukie.
 
Swali la jamaa ni fikirishi sana, majibu ya kuridhisha bado sijayaona.

Ya kwamba ukirudia kuview inahesabj au haiesabu inaweza kupunguza gape, ila bado 5.7 b ni kubwa sana.
 
MTU MMOJA ANA ACCOUNT 10 SA AKIAMGALIA KWA ACCOUNT ZOTE TAYARI 10VIEWS
PIGA HESABU WENGINE WAIANGALIA WAKAFA WAKAZALIWA WENGINE :):):):)
 
Despacito ni wimbo wa msani raia wa Puerto Rico wa kuitwa Luis Fonsi akishirikiana na rapa wa nchi hiyo pia,wimbo huu una mahadhi ya kispain.

Kwa mujibu wa mtandao wa iTunes,Amazon music,Spotify,Youtube n.k wimbo huu umetazamwa mara bilioni 5.7+.

Turejee hapa.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi duniani inakadiliwa kuna wanadamu wanaoishi wapatao bilion 7+ ikiwemo watoto n.k.

Pia kwa mujibu wa taarifa mbali mbali inakadiliwa kua kati ya mwaka 2015_2020 dunia nzima itakua na watumia simu wapatao 5.4bilioni.

Pia kwa mujibu wa taarifa za mwaka 2018 dunia nzima inakadiliwa kua watu wapatao 134.1milioni wanaotumia laptops,tablets n.k.

Wakati huo takwimu zinaonesha watu 4,208,571,287 ndio wanatumia internet duniani.huku bara la ASIA wakiongoza kutumia internet kwa 44.8%,ulaya 16.8%,Africa 15.6%,latin america 10.4%,mashariki ya mbali 3.9% na zilizobaki mabara mengine.

Kwenye hili kundi la watumia internet 4.2bilioni kuna ambao hawana taarifa na wimbo huu,pia kuna wale hawana hobbie na mziki.

Pia katika jumla yote ya wanadamu hawa wapatao bilioni 8 wanaoishi katika sayari hii mpaka sasa robo yote ni watoto,huku lipo kundi la wasio jua kusoma na kuandika,pia kwenye kundi la watu wanaotumia simu wapatao 5bilioni kuna wengi wasio na smartphone.

Swali langu huu wimbo hawa views 5.7bilioni ulipataje?

Kwa watalaamu wa mambo haya naomba mnisaidie nami.

Nawasilisha.
Kwanini haujaangali possibility ya mtu mmoja kuuangalia mara mia tano? Hiyo itakusaida hayo mahesabu yako japo wimbo wenyewe ndiyo kwanza naona kama unauadvertise kwa kuwa hapa ndiyo umefanya nijue kama kuna wimbo wa aina hiyo.
 
Naona watu wanachanganya views na viewers. Wimbo unaweza ukawa na viewers 100 lkn ikapata views 100,000. YouTube wanadisplay views. Rejea interview ya Ommy Dimpoz alipokuwa anaponda mambo ya Views za YouTube!
Alisema haimake sense kuwa na viewers wachache lkn views nyingi.
 
Back
Top Bottom