Wimbo wa DESPACITO ulipataje hawa viewers zaidi ya Billioni 5?

Hta mm nashangaa ukiangalia viewers ni 6 billion alf like million 35 mbn km haiakisi uhalisia wenyew hpa mm nadhani kna usanii wameucheza hawa jmaa hta km Uki view mara 1000 sio sababu km viewers ni 6b ina maana nusu na robo ya Dunia wameitazama hii nyimbo kitu ambacho hakiingii akilini kuna watu wengi Sana wasioujua huu wimbo
Sasa viewers na likes vinahusiana nini?

Mimi naweza kuangalia na nisilike
 
Sawa lkn c tija Mbna kuna wasanii wakubwa walifanya ngoma kubwa na ni kali balaa lkn hawakufikia hpo na nyimbo zilipendwa
Umeambiwa mtu kila akiingia kuiangalia ile video views zinaongezeka.
Huko bara la America hyo nyimbo inapendwa sanaa.
Na hao ndio wanaoiangalia sanaa
 
youtube inahesabu views kila unapoiangalia hiyo video
tu assume umeiangalia hiyo video zaidi ya mara 100,then views 100 kwenye ili video itakuwa ni wewe.

Ndio inahesabu bila kujali una youtube account au hauna
Kwanini sasa nisipost vdeo yangu youtube kila siku nikaiangalia mara mia KWA wiki😂
 
Despacito ni wimbo wa msani raia wa Puerto Rico wa kuitwa Luis Fonsi akishirikiana na rapa wa nchi hiyo pia,wimbo huu una mahadhi ya kispain.


Kwa mujibu wa mtandao wa iTunes,Amazon music,Spotify,Youtube n.k wimbo huu umetazamwa mara bilioni 5.7+.

Turejee hapa.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi duniani inakadiliwa kuna wanadamu wanaoishi wapatao bilion 7+ ikiwemo watoto n.k.

Pia kwa mujibu wa taarifa mbali mbali inakadiliwa kua kati ya mwaka 2015_2020 dunia nzima itakua na watumia simu wapatao 5.4bilioni.

Pia kwa mujibu wa taarifa za mwaka 2018 dunia nzima inakadiliwa kua watu wapatao 134.1milioni wanaotumia laptops,tablets n.k.


Wakati huo takwimu zinaonesha watu 4,208,571,287 ndio wanatumia internet duniani.huku bara la ASIA wakiongoza kutumia internet kwa 44.8%,ulaya 16.8%,Africa 15.6%,latin america 10.4%,mashariki ya mbali 3.9% na zilizobaki mabara mengine.

Kwenye hili kundi la watumia internet 4.2bilioni kuna ambao hawana taarifa na wimbo huu,pia kuna wale hawana hobbie na mziki.


Pia katika jumla yote ya wanadamu hawa wapatao bilioni 8 wanaoishi katika sayari hii mpaka sasa robo yote ni watoto,huku lipo kundi la wasio jua kusoma na kuandika,pia kwenye kundi la watu wanaotumia simu wapatao 5bilioni kuna wengi wasio na smartphone.

Swali langu huu wimbo hawa views 5.7bilioni ulipataje?

Kwa watalaamu wa mambo haya naomba mnisaidie nami.

Nawasilisha.
Unique views ndio huhesabiwa na sio unique users.
 
Viewers haimaanishi unique viewers inwezekana ni watu kadhaa wanaangalia kila siku by the way nina uhakika hata wewe wimbo unaoupenda haiwezekani umeuangalia mara moja itakuwa kila ukikumbuka una-view hakuna sababu ya kuwa nao kwenye storage yako
 
Back
Top Bottom