Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

Tatizo kubwa ni watu hawaelewi maana ya Hip hop!
.
Eti
kila binadamu ana upendo, kwa yule amtakae/
na kila mmoja anawaza atampataje amtakae/
.
Na
.
Wanao jiita wakali hizi salamu ziende kwenu/ mi ndo emcee hatari nnaeogopwa na bamsa wenu/
akija kusema na (kama mke wa mtu sumu mi gheto nina maziwa)
.
Basi watu wata waona wamaaaana kuliko anae andika hivi!
.
RPC usitume kikosi ili uiangushe chadema/ italipwa Damu ya mwangosi Iringa Semeni amina/
.
Daaaa kweli Hip hop ni kuielewa usikivu!
 
huyu jamaa hajui kunata na biti bali anaweza kupayuka juu ya biti ndio maana nyimbozake zote hazina tofauti ya melodi
 
Kama humuelewi R.O.M.A sio lazima kusikiliza nyimbo zake, rahisi tu, sikiliza za wale unaopenda kuwaelewa mbona wapo wengi tu kwenye game!? Nikutajie!? Kwanza sapoti yako kwa sanaa ni ipi!? Unahudhuria shows na kununua kazi zao halali au ndio kusikiliza bure tu redioni na kudownload free tu mitandaoni!?
 
huyu jamaa hajui kunata na biti bali anaweza kupayuka juu ya biti ndio maana nyimbozake zote hazina tofauti ya melodi
Kwakweli namshauri aanze kutafuta wa kumtungia nyimbo na melody.
 
Huwezi elewa hiphop kama hujui mziki na hupendi kuumiza kichwa chako kufikiri,kwa jinsi nilivyofuatilia comment za watu hapa nimeona wengi ni chuki binafsi tu kumponda roma yaani bongo kila msanii hakosi maadui ukija kwa diamond wanamponda sijui nyumba yake hamalizi kujenga ukija kwa huyu roma anaefanya mziki wa tofauti kabisa nae unasikia wanasema eti kafulia hawezi toka tena huyo kaamua kufanya rap siasa so usitegemee wala yeye hategemei kupata show za nje coz anazungumzia siasa za bongo,kiukweli namuelewa sana roma na hii kkk ni bonge moja la pini hasa verse ya pili ndo kaua mbaya na yule jamaa aliyemshirikisha nicozola naye kamaliza kila kitu.
 
huyu jamaa hajui kunata na biti bali anaweza kupayuka juu ya biti ndio maana nyimbozake zote hazina tofauti ya melodi

kama unajua mziki jaribu kusikiliza country music utaona kwamba almost nyimbo zote melody ni sawa na waimbaji ni tofauti what matters ni message sio kutafuta melody by the way hiyo ndo uniqueness yake ulitaka abadilike aimbe vipi???
 
siwezi kuwa na bifu na uyo mtoto mdogo mkomao ,,nyimbo zenyewe hawezi kutengeneza,,alibahatisha hatakaa atoke tena...kama nilivyosema wakati anatoa wimbo 2030 kuwa utafeli na kweli ulifeli na huu kkk pia utafeli..

Huna akili ww rudi darasan, redio zote n kkk hakuna kingneer, well done Mkatolik


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 

"Ukinianzisha stijin nasepa na kijiji" roma huyo msemen vibaya lakn n miongon mwa wana hip hop bora wa kizaz cha 2000, hutaki jinyonge


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Si kila aliepata zero ni zezeta ata kama alikua anatafuta vina ila kumuita aliepata zero ni zezeta si sawa. Hao anaowaita mazezeta ndio mashabiki wake mfyuuuu sielewi huwa anaimba nini
Tupa kule zezeta mwenyewe mie shabik wake kufa na sina hist ya kufail pepa ..,, pole kma kakutach mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Hongera ROMA..naona Redioni unapata Airtime na huku JF una thread inaendelea kwa spidi..
sio wasanii wengi wa HIP HOP wakitoa nyimbo hufunguliwa thread humu JF
 

Hapa umeuma na kupuliza mkuu ila yote kheri
 
Si kila aliepata zero ni zezeta ata kama alikua anatafuta vina ila kumuita aliepata zero ni zezeta si sawa. Hao anaowaita mazezeta ndio mashabiki wake mfyuuuu sielewi huwa anaimba nini

Wape jina lako unalopenda ww basi. Wanaopta 0 ni vilaza ndio. Km ulikuwa na akili zako bahati mbaya inaishia 4
 

Umemaliza kila kitu. Naona yy kuwa chadema ndo knachowaumiza watu. Hizo zingine ni maneno tu
 
kwanza kabisa roma hayuko conscious kabisa...mc conscious ni yule anayetoa ujumbe,,roma atoi ujumbe anafanya mahubiri....kukujibu,wasanii wengi tu wapo conscious hapa bongo mfano ni One the incredible, Sugu,Dogo Hashim, Jay moe, Prof Jay

Jamaa uko mbali sana na huu utamaduni wa hip hop jaribu kufuatilia hata kidogo ni maana ya concious rap na roots zake hauwezi kusema ROMA hafanyi concious unaweza kuwa sahihi kutompenda kwa sababu zako ila sio kimuziki nitajie joint ya Hashimu dogo ya mwisho tumkatae ROMA kwa kasumba zetu sio kwa muziki anaofanya.
 
Roma mistari yake inaweza kua na ujumbe, tatizo anatumia style moja tu ya uimbaji!!

Yaani nyimbo zake zote utafikiri ni huohuo mmoja kwa jinsi flows za mistari zinazofanana!

Pili labda pia ajaribu studio ingine tofauti na TONGWE RECORD!! maana hata beats nazo ni zilezile tu za kufanana kwa nyimbo zote!!
 
Nyimbo za Roma ukiziondoa chorus,uwezi kujua ipi ndio ipi,anaimba yale yale kila siku..hawezi 'one n two' so kuchana hawezi
mkuu wewe utakuwa mjuzi kwenye haya makitu umeelezea vizuuri kabisa
 
Si kila aliepata zero ni zezeta ata kama alikua anatafuta vina ila kumuita aliepata zero ni zezeta si sawa. Hao anaowaita mazezeta ndio mashabiki wake mfyuuuu sielewi huwa anaimba nini
Ni kweli kama kapata ziro form four anaweza akawa mzuri kwenye ufundi magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…