Wakuu kiukweli nimesikiliza bongo fleva nyingi sana ni kama zote....
Kuna nyimbo kali sana zimewahi kutokea/kuimbwa na wasanii wa hapa Nyumbani. Ila kwa upande wangu hakuna wimbo unaoweza kuufikia "Gheto Langu" Wa Mangwea aliomshirikisha Mez B...
Wakuu huu wimbo ni mkali sana, kuanzia beat, chorus, idea na stahili ya kughani...
R.I.P Ngwea..
Je wewe kako unaona ni wimbo gani ni bora kuzidi zote??
Hiyo ngoma kunasiku nilisikiliza siku nzima bila kuchoka.Duh Umenikumbusha mbali sana... Daz Walisimama sana humo ndani...
Kama kurap na kuimba mic nacontrol...
Majani na beat nzito Bongo Record nascore...
[emoji4] [emoji4] [emoji4] bwana misosi bila shakanitoke vipi,simkumbuki artist ni nani, 😀
Prof Jay- Jina langu
Prof Jay-Kikao cha dharura
Prof Jay-Ndiyo Mzee
Nilikuwa na ninamkubali sana prof Jay
Alikuwa timamu sana kitambo kileAfande sele,ndugu zangu
Kweny jina langu kuna mistari:Prof Jay- Jina langu
Prof Jay-Kikao cha dharura
Prof Jay-Ndiyo Mzee
Nilikuwa na ninamkubali sana prof Jay.