PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Ngoma kali kwangu ni ya G NAKO na ben pol-- Mama yoyoo
Hii ngoma naipenda sana
Hii ngoma naipenda sana
sana Aisee...miaka 12 sasa lakini bado haichoshi.....Kali sana hiyo ngoma...lamar alituliza mkono sana kweny kupika hii beat
Sent using Jamii Forums mobile app
Aha kar sanaNgoma kali kwangu ni ya G NAKO na ben pol-- Mama yoyoo
Hii ngoma naipenda sana
Haipiti siku sijasikiliza hiiKing'asti sugu - bright.
"sio kama mimi sitaki demu,ila sijapata mwenye sifa...uzuri ulionao wewe ni kama malaika wangu.
anaeujua uu wimbo aweke jina lake APA na muimbaji.
Sijawahi kukaa nao mbali uu wimbo
Haitakuja Tokea Ngoma Kali Kama Ya Marehemu #CaptainKOMBA Mbele kwa Mbele.....Trust m! Kama mtabisha Mjifanye Mnajikuna Muone[emoji102][emoji188][emoji54][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ngoma kunasiku nilisikiliza siku nzima bila kuchoka.
Ila kwangu Ngoma kali ni Mtazamo @ Afande, Solo na Pro Jay
''Aah we mola acha tuu wangu mkachaa, ni story ndefu nikianza kukupaa, ubongo wangu nahisi kama unazafilika, kwa haya matatizo makubwa yaliyonifika, shemeji yako nadhani unamjuaa, ambaye kichwa changu alikichenguaa. ''Barua.. Hii nyimbo nikiisikiliza huwa nalewa kabisa
Haswa biti lake ndo huwa linanichanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Xplastaz hao kama sijakosea...''Kipi dhambi kwa mwenye dhiki kipi haramu?
Xplastaz hao kama sijakosea...''Kipi dhambi kwa mwenye dhiki kipi haramu?