luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,405
Ali kiba- Kadogo
sasa miaka 39 bado unaogopa na unapelekeshwa na wenzako? Au una sababu nyingine??
Huyo jamaa nakumbuka kifo chake kiliniuma sana kama nimefiwa na ndugu wa karibu...Mpaka nafika hapa nimejikuta nimeimba nyimbo zote na video zake zinapita kichwani mwangu.
Nyimbo za ngwair nazikubali sana, popote nlipo lazima niwe nazo.
Ali kiba - Mvumo wa Radi, ni balaaa
Ali Kiba - Aje
Hi ngoma huwa siichoki milele daima
Diamond&Rayvany-Mwanza
Yaani nyie madogo mlichotakiwa kufanya ni kufungua hii post,kisha mkaifunga bila ku-comment chochote then mmoja wenu akaiba hii idea akaja na uzi wake unaofanana na huu unaozungumzia moja ya wimbo ktk hizi mlizozi-menttion hapa mkajadiliana siyo kuingiza humu vitu ambavyo hata havieleweki.Rayvany & KKKM- konki
Kali sana hiyo ngoma...lamar alituliza mkono sana kweny kupika hii beatHakutakuja kutokea Ngoma Kali Kama NENDA ya MANDOJO&DOMOKAYA Ft Squeezer
Sent using Jamii Forums mobile app