Bila shaka utakuwa unatania..
Kasikilize Taifa la Kesho na Prof Jay then ulete majibuSamahani, hivi kuna wimbo wowote wa maana kwenye bongo fleva kweli?
Kasikilize Taifa la Kesho na Prof Jay then ulete majibu
Jina langu linavuma kwenye mitaaa...jina langu lina hadhi ya kisupastaa...jina langu linaongeza idadi ya maadui..wengine nawajua wengine siwatambui!Prof Jay- Jina langu
Prof Jay-Kikao cha dharura
Prof Jay-Ndiyo Mzee
Nilikuwa na ninamkubali sana prof Jay.
Mi napenda na ile umbo namba 8 ni shidaaaaKwanza huo mdundo tu wenyewe Noma sana mwanangu.
Aisee noma mwanangu kweli yakale dhahabu[emoji41] [emoji41] [emoji41]Mi napenda na ile umbo namba 8 ni shidaaaa
Hahahah kwa kweli!Fid aliua sana..
Unaogopa kuchekwa na wenzako?
Una umri gani?
Mnasikiliza nyimbo gani wewe na hao wenzako?