Wimbo mkali kuliko zote katika Bongo Fleva...

Wimbo mkali kuliko zote katika Bongo Fleva...

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,341
Reaction score
37,783
Wakuu kiukweli nimesikiliza bongo fleva nyingi sana ni kama zote....

Kuna nyimbo kali sana zimewahi kutokea/kuimbwa na wasanii wa hapa Nyumbani. Ila kwa upande wangu hakuna wimbo unaoweza kuufikia "Gheto Langu" Wa Mangwea aliomshirikisha Mez B...

Wakuu huu wimbo ni mkali sana, kuanzia beat, chorus, idea na stahili ya kughani...

R.I.P Ngwea..



Je wewe kako unaona ni wimbo gani ni bora kuzidi zote??
 
Back
Top Bottom