Wimbo mkali kuliko zote katika Bongo Fleva...

Wimbo mkali kuliko zote katika Bongo Fleva...

1.Mstari wa mbele-Kikosi cha Mizinga
2.Sugu Moto Chini-Mr 2
Ila daah kulikuwa na magoma mazito sana kipindi hiyo watu wanapika beat haswa...
 
Zari La mentali profesa j ft jima nature kwangu hii ndio ngoma bora sio bongo dunia nzima

Sichenji buku kwa njaa ya siku moja
 
Hah hah hah hah upo sahihi

Xplastaz hao kama sijakosea...''
''Wapo waliopoteza maisha katika kufight life
Kumbukumbu zao zimebaki makaburini
Na wapo waliopoteza kabisa tumaini la kuwini
Hao roho zao utadhani wamezitoa rehani
Wakikutight mahali fulani
Inabidi uwakabidhi mshahara wote wa mwisho wa mwezi ''
Kweli Bongo kutafuta braza
Utajajuta utakapojikuta huna hata bukta
Shauri yako we tegesha tu kama golikipa
Na hao unaowategemea mwishowe watakutosa
Huna elimu, hun fani
Lakini nguvu, ulimi, uchumi unao unaukalia
 
RIP Faza Nelly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom