Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Kweli mama Fatu nilipokuona
sikuamini macho yangu,
kwa kweli umbo lako lilivyobadilika,ni masikitiko kwangu.
Hebu nieleze, umekumbwa maswahibu gani, Mpenzi nieleze umepata matatizo gani.
 
Kuna nyimbo za Verkys zilizovuma miaka ya sabini:
  • Mfueni
  • Baluti
  • Momi Afinda
  • Ifantu
  • Nakoma juste
  • Mikolo Mileki Mingi,
    etc


Halafu kuna zile na Salim Abdalah za miaka ya sitini:

  • Wanawake Tanzania
  • E mola wangu
    etc,

Kiboko zadi ni zile za Mbaraka Mwinshehe za wakati akiwa Morogoro Jazz:
  • Kulala na Njaa
  • Expo 70
  • Kwa heri rafiki mpendwa
  • Mwenye dada hakosi Shemeji
  • Moto wako washa nje
  • FAT na Timu ya Taifa 1972
  • Tunawakumbuka Wahenga wa Morogoro
  • Morogoro Bingwa wa Taifa
Halafu Mbaraka huyo huyo akaja nikosha zaidi alipohamia super volcano kwa nyimbo za:
  • Shida
  • Nitoe nikawaone wana masika
  • Picnic ya Volcano
  • Safari Tumerudi salama
Vile vile kulikuwa na Juma Kilaza na wana ambiance aliyemwaga lazi kwa nyimbo za:
  • Tunda,
  • Wana Ambiance,
  • Mwana,
Sikuwasahau watu wa mipasho kama Juma Balo kwa nyimbo zake kama
  • Kapu

na Shakila naye mipashoa kabambe kama vile
  • Bunduki isiyokuwa na risasi


Ila Tabora Jazz (Wazee wa Kazi) walitia fola sana kwa nyimbo zao kama vile

  • Dada Asha
  • ooh Mariamu
  • Serafina

na wadogo wao nyanyembe Jazz (Vijana wa Kazz) nao wakatoa

  • rangi ya chungwa
  • wamuonea bure

Balisidya wa Afro 70 (Afrosa) naye alikosha sana kwa nyimbo zake nyingi sana hasa ule wa
  • harusi

Jamhuri Jazz ya Tanga (Wanyama Wakali) nao walitoa burudani sana kwa nyimbo mbalimbali kama vile
  • Mganga
  • Wanyama wakali
  • Fadhili i wapi

Sensera ya Mara Jazz (Sensera) nayo ilikosha moyo wangu kwa vibao kama
  • Kitenge

Nadhani Western Jazz (Saboso) walikosha zaidi kwa nyimbo zao za
  • nachungulia dirishani,
  • Rosa (mapenzi yetu yamekuwa ni hasara)

Nyimbo nyingine ni zile za Marijani akiwa Safari Trippers (Sokomoko)

  • Georgina
  • Tucheze Sokomoko
  • Mnaleta Sokomoko

Vile vile namkumbuka Hemedi Maneti alipoanza na Vijana jazz ikiwa bado inaitwa Kokakoka:

  • Niliruka Ukuta

Kuna nyimbo nyingi sana ninaweza kukumbuka zilizoachwa na magwiji wa wakati huo kama Atomic Jazz ya Tanga, Kurugenzi ya Arusha,Super Revolution ya Mwanza (majini wa Ziwa), Dar es Salaam Jazz (majini wa Bahari), Njohore Jazz ya Kilosa, na nyingizeo nyingi tu.
 
So amazing how this WOLRD was made, I wonder if GOD is a woman - Shaggy (Strength of woman)

Halafu kuna TX Moshi William (RIP) akiwa na Mosondo Ngoma (wakati wakiitwa OTTU Jazz) kuna wimbo unaitwa Jessca.
Jessca mama nalia....wewe ni hakimu wa penzi letu.....bosi wako alitumia wadhfa wake (Ufisadi?) na kuliteketeza penzi letuuu...
 
Eee bwana kuna huu wimbo toka asubuhi unajiridi kichwani. Mnaupata?

Buju Banton - Destiny
[media]http://www.youtube.com/watch?v=UqYankgih54&feature=related[/media]



kula Lyrics yake hapa
Verse 1:
The rich man's wealth is in the city
Destruction of the poor is his poverty
Destruction of your soul is vanity
Do you hear
I and I, I wanna rule my destiny
I and I, I wanna rule my destiny

Chorus:
Destiny, mama look from when you call me
Destiny, mama look from when you calling
I wanna rule my destiny
yeah, yeah oh help I please Jah Jah mek mi rule

Verse 2:
I've been blessed I've been touch
I love Jah so much
They keep fighting me I'm not giving up
May the realms of Zion fill my spiritual cup
Wisdom overstanding can never be too much
Give I protection Day and night

Chorus

Cast away their cords from us
you have them in the region in the valley of decision
Restraining the heathen with a rod of iron
you know not the destiny of a next man
Why hold him set him free too long

Verse 3:
My destination is homeward bound
Though force try to hold I down
Breaking chains has become the norm
I know I must get through no matter what a gwaan
 
Wa zamani ndio, but.............

Here we go,

"DOING JUST FINE by Boyz II Men"


There was a time when I thought life was over and out
When you went away from me
My dying heart made it hard to breathe
Would sit in my room
Because I didn't want to have to go out
And see you walking by
One look and I'd break right down and cry
Now you say that you made a big mistake
Never meant to take your love away
But you can save your tired apologies
Cause it may seem hard to believe, but

Chorus:

I'm doing just fine
Getting along very well without you in my life
I'm doing just fine
Time made me stronger you're no longer on my mind


You were my earth
My number one priority
Gave my love to only you
Anything you'd ask of me I would do
But somewhere down the road
[Doing Just Fine lyrics on http://www.metrolyrics.com]

You feel a change in the weather and told me
That you have to journey on
A kiss in the wind and your love was gone
Now you say you never meant to play your games
"______" don't you know it's far too late
Because you let our love just fall apart
You no longer have my heart

Chorus:

When you said goodbye
I felt so all alone
There were times at night I couldn't sleep
My heart was much to weak to make it on my own
"_____" after all the misery and pain you put me through
So unfair to me "______"
You're no longer my world an I ain't missing you at all


Chorus:

See "_______"when you walked away
You didn't think that it would end up this way
But I knew you would come around someday
Just as sure as my name is ..............
 
Ebanae huo wimbo si mchezo...naona Pollow kaamua kufunika kwenye track ila Jeezy kachemsha kiaina, angemweka Luda ama TIP


Sawa mzee BENZINO tumekukubali hii ya COMMON nayo vipi?This Song Is One Hundred Percent Fire

http://www.zshare.net/audio/8127071f040e64/
CommonFindingForever.jpg
 
Leo hii nyimbo imenikaa sana kichwani...Feelin' on your booty...R. Kelly....booty...boooty...booohoooty...boohoooooooooty.......hahahahahaha....he's tupid
 
Leo hii nyimbo imenikaa sana kichwani...Feelin' on your booty...R. Kelly....booty...boooty...booohoooty...boohoooooooooty.......hahahahahaha....he's tupid
Leo nilikuwa nawasikiliza sana U2.
R.Kelly ni genius, jamaa ana baadhi ya nyimbo zake very interesting kama mmoja unaitwa Sex Planet.

Naona ATL bado ina-dominate anga za hip-hop....thats whats up

ATL kuna talents...sema akina Dem Franchize Boys, Soulja boy ndio wanachafua game.. Lil Jon kaishia wapi?
 
Leo nilikuwa nawasikiliza sana U2.
R.Kelly ni genius, jamaa ana baadhi ya nyimbo zake very interesting kama mmoja unaitwa Sex Planet.



ATL kuna talents...sema akina Dem Franchize Boys, Soulja boy ndio wanachafua game.. Lil Jon kaishia wapi?

Tatizo la ATL ni one hit wonders kuwa wengi...nikianza kukutajia one hit wonders nitajaza ukurasa....Lil Jon naona ame-lay low sasa hivi lakini usishangae akiibuka kwa nguvu...
 
Tatizo la ATL ni one hit wonders kuwa wengi...nikianza kukutajia one hit wonders nitajaza ukurasa....Lil Jon naona ame-lay low sasa hivi lakini usishangae akiibuka kwa nguvu...

Kuna couple of artists niliwaona wakiperform kwenye club ATL next thing unawasikia wanadominated airwaves.

Monica nasikia amejifungua tena, Toni Braxton sijui amejificha wapi Da Brat naye sijui lini atatoa album kama Funkdafied.
 
Kuna couple of artists niliwaona wakiperform kwenye club ATL next thing unawasikia wanadominated airwaves.

Monica nasikia amejifungua tena, Toni Braxton sijui amejificha wapi Da Brat naye sijui lini atatoa album kama Funkdafied.

Yaah Monica katotoa tena...jamaa yake ni Rocko...nadhani utakuwa umemsikia...'umma do me'...

Ila bibie anaendekeza sana ghetto mentality...
 
Nimejikuta naisikiliza sana You're All welcome Jay Z feat Mary J Blige.
 
Back
Top Bottom