Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Lakini R.Kelly naye amezidi maskendo bwana....kila kukicha hili, lile... noma tupu..hadhi yake kimziki inakuwa tarnished na upuuzi katika maisha yake.... noma kweli..
Ngabu, ndiyo huo umeamka nao..daah, poa sana mazee... kama hutajali mimi kukuuliza, kuhusu wale wawili ulio gundua wana 'onana' unajisikia vipi ukisikia wimbo kama huo?...
Ngabu, ndiyo huo umeamka nao..daah, poa sana mazee... kama hutajali mimi kukuuliza, kuhusu wale wawili ulio gundua wana 'onana' unajisikia vipi ukisikia wimbo kama huo?...
Oh wait a minute...u talkin bout "my girl gotta girlfriend"...ahahahahahaha.....thats whats up
I'll make em do what it do
Damn Riiiight, dat's wot sup dawg!!
bwaaa ha haaaahah!!
SteveD.
Jamani Kci & Jojo wameishia wapi? Last I heard walikuwa wanatafutwa na IRS....he he eh! I love their music, Kci is good...
Music-wise ndio imeshatoka hiyo...
Unajua nini Ngabu, pesa iliyopo kwenye black music na entertainment kwa ujumla ingelikuwa kwa wenzetu... na wakawa na matatizo kwenye bara-mama lao kama jinsi siye tulivyo, nadhani ingelitumika ipasavyo kuendeleza bara-mama lao... tatizo, kuanzia wakina Michael J, akina Tyson.. na msululu mrefu unaofata, mambo yao ndiyo kama yale yule mpuuzi mmoja alisema kule kwenye mamabo ya genes!
ni vigumu kukubali ukweli, lakini ukiona vitu kama hivi na facts mbalimbali zinazo surround haya mambo, inabidi tu mtu uamini, kuwa tuko kama tumelaaniwa kama si kulaaniwa!
Ebwana nina mpango wa kuja huko sometime around around March or April....I'll holla so we can link up