Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

mi hapa nawasikilza The Winners na ngoma zao Love stations na We are number one, nkmalza hapo naenda kwa Indeep na ngoma yao ya Last night dj saved my life from broken heart.
 
I see trees of green, red roses too. I see them bloom, for me and you. And I think to myself, what a wonderful world.

I see skies of blue, And clouds of white. The bright blessed day, The dark sacred night. And I think to myself, What a wonderful world.

The colors of the rainbow, So pretty in the sky. Are also on the faces, Of people going by, I see friends shaking hands.
Saying, "How do you do?" They're really saying, "I love you".

I hear babies cry, I watch them grow, They'll learn much more, Than I'll ever know. And I think to myself, What a wonderful world.

 
Last edited by a moderator:
niko bize-jafarrai ft.daz baba,my luv-westlife kama kuna mwenye link ya nyimbo za westlife naombeni
 
Wimbo ulioimbwa na Upendo Nkone - unaitwa SITAOGOPA

Sitaogopa sitafadhaika.....
Bwana Yesu .....Yupo nami
japo ninapita katika mambo magumu ... Bwana Yesu yupo nami ....


tena wapo watu wengine wapitapo majaribuni ... wanasahau kwamba Mungu yupo .. Mungu hawezi kukuacha uangamie .... kazi yake ni kukusaidia .....

mwite Yesu ataitika . ... yeye yupo kwa ajili yako .... aweza yote mwingi wa huruma .... upendo wake ni mkubwa mno.....

Usiogope, usifadhaike .... Bwana Yesu, yupo nawe .... japo unapita katika mambo magumu ... Bwana Yesu yupo nawe ....

Unahitaji mume .... mwite Yesu, Unahitaji mke .... mwite Yesu, Yesu!
Unahitaji pesa .... mwite Yesu, unahitaji watoto .... mwite Yesu, Yesu!
Unahitaji faraja .... mwite Yesu, unahitaji uponyaji .... mwite Yesu, Yesu!
Unahitaji chochoteeeeeeeeeeeee! MWITEEEEE YESU.
Endelea tena mkuu naupenda sana huu wimbo
 
Back
Top Bottom