Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Wakuu kuna DJ moja alikuwa anaitwa Mangapi, je kuna mtu anataarifa zake? Mara ya mwisho kumtia usono ilikuwa mwanzoni mwa 1990, mtaa wa TOGO, Kinondoni A.

dj Mangapi kwa taarifa nilizozipaga amefariki mkuu...alikuwa anapatikana sana MERIDEAN(MASAI CLUB) kinondoni...miaka ya mwisho ya uhai wake
 
Asante sana mkuu taarifa hizi za kusikitisha. May God rest his soul in Peace kwa mchango wake wa kutoa burudani kwa wakazi wa Dar, haswa mitaa ya Kinondoni.
 
Nilikua natafuta CDs hapo Amazon, nikabonyeza Guajira by Santana...Machozi yakanitoka nikikumbuka disco la pale Muhimbili Nursing...enzi hizo. Jamani!
 
Kuna mwenye kukumbuka huu wimbo ulipoingia airwaves za Tanzania kulileta uchafuzi wa hali ya hewa?

Mara kukawa na vitisho ni marufuku kupiga huu wimbo na mengine mengi tuu. Kuna hata mmoja aliyeweza jua maana ya wimbo ?

Alpha Blondy is trully one of African Greatest artists.
 
...............................miii...ni...mista politishani wa dada nakaaya, kweli huyu dada ni kichwa......
 
Afro Afro mama ooh mtoto wa Sagana eh mama, salaamuu zangu nakutumia popote ulipo zipokee,
Nisalimie ndugu na wazazi wako mama popote walipo Afro
Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni nina wasiwasi,
Nikikumbuka tulivyoachana mara ya mwisho uliniahidi Afro
Tungeonana mapema siku zinapita bibie mbona sikuoni mama, afro mama ehee mtoto wa Sagana.
Kaa ukumbukee mama penzi hugeuka, leo kwangu kesho kwako, utanikumbukaa
....
 
Chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi.
chama .............
nyerereee eeeh mkapa wajenga nchi
 
Back
Top Bottom