Wimbi la wadada wa sasa kuzaa bila kuolewa chanzo ni nini?

Ukweli mtupu!!
Wengi wao wanataka kuzaa/kuwa na watt wenye mionekano mizuri wawanyoe vduku vyao na kuwapeleka kupiga picha waweze kuwatambia wenzao kuwa ana mtt mwenyew sura nzuri km ya bwana wake(wengi wao wanakuwa mabishoo..wakati kiuharisia huyo baba wa mtt anakuwa hana mbele wa nyuma ila binti katamani tu amzalie mtt, akimtazama nafsi yake iridhike,,, wasipobadirika watazalishwa sana
Halafu yakishamshinda ndo anataka kuolewa sasa, wakati inakuwa too late
 
Exactly, ndo maana siku hizo unakuta mtu anaoa Demu wa kawaida tu ambaye hana swaga wala nini maana hawa masista du wengi malaya
Yaani unamuoa mtu nusu ya vidume wa mtaa wanamjua aaaah wapo wanaume vicheche lakini mwanamke kuwa kicheche ni balaa katika jamii
 
Wakuu habari,

Kumekuwa na wimbi kubwa la wadada wa sasa kuzalia nyumbani.

Wapo waliopata mimba kwa bahati mbaya..na wapo ambao wanaamua kuzaa tu kwa kuona umri umeenda.

Tujadili kwa undani...

Je chanzo cha haya yote ni nini?

Kwanini wadada hawaolewi?


Doncute


1. Wanaume wa Dar si wanaume wa mfano wa kuolewa nao
2. Wengi wanazalia majumbani kwa sababu wanaona haibu kuzalia hospitali kutokana na tigo kufunguka baada ya kuzoea ule mchezo haramu.
 
1- Wanabakwa
2- Umasikini/Familia duni
3- Kulewa na mzazi mmoja
4- Viherehere vyao
5- Tamaazao
6- Uchache wa kiumbe wanaume
7- Wanaona umri unawakimbia

Na kadhalika......
 
mtoa mada mbona umejijibu, umeshasema ni kupata mimba kwa bahati mbaya nakigezo cha umri
 
Nadhani kufanya ngono bila kondom pia inachangia.

Na wengine ni kuchelewa kudecide kuolewa, time wanataka kuolewa. Wanakuta yule wakuoa alishapita zake.

Or kutotambua kwamba watahitaji kuolewa mapema. Mda wanatambua hilo mapema ilishapita.

Kwa ufupi ni kutopanga events za maisha yao kwa isahihi. Mtu anataka aolewe akiwa na masters. Halafu akipata wa kumuoa akiwa anapersue bachelor anamwambia asubir. Wanasemaga kama ananipenda atasubir.

Sio rahisi huyo kuwa bado wako time wewe upo ready
 
Malezi, wazazi wanawaachia sana mabint zao bila mafunzo ya ukuaji na kujiepusha na ngono zembe
 
By the way sioni kama kuna tabu sana, kwa takwimu ambazo sio rasmi inadaiwa wanawake wameongezeka sana kuliko wanaume na sidhani kama kuna uwezekano wakaolewa wote kwa hiyo naona kama mtoto anawezapata matunzo na akakua vizuri ilo tatizo la kuzaa bila kuolewa wala halina shida, nahii ni case ya dunia nzima wadada wanapata mimba na wanalea watoto wao vzuri tu, kusubiri mapaka uolewe wakati kuolewa yenyewe ni probability wakati huo umri unasonga na ninakumbuka nilifundishwa kuna kipindi mayai ya mwanamke hayakomai tena unaweza subiri sana.
NB:- Sijahalalisha kubeba mimba hovyo tu, chagua mtu sahihi wakuoa/kuolewa in case akizingua wakati tayari unamimba wewe lea tu, kitanda hakizai haramu wengi sana ambao walilelewa na Mzazi mmoja wamefanyaga mambo makubwa mno wakati wale watoto wa ndoa wanazingua vibaya mno.
 
Back
Top Bottom