Wimbi la wadada wa sasa kuzaa bila kuolewa chanzo ni nini?

Wakuu habari,

Kumekuwa na wimbi kubwa la wadada wa sasa kuzalia nyumbani.

Wapo waliopata mimba kwa bahati mbaya..na wapo ambao wanaamua kuzaa tu kwa kuona umri umeenda.

Tujadili kwa undani...

Je chanzo cha haya yote ni nini?

Kwanini wadada hawaolewi?


Doncute
Sababu ni utamu wa dyudyu umeongezeka..!
 
mara nyingi kijana anastahili kuoa akiwa na umri kati ya 30-35 kama amepita chuo vinginevyo mapema zaidi.
wakati huo anategemea kuoa binti wa miaka 23-27,28 kwa dharura sana 30 huyu ni binti ambaye anaaminika inawezekana hana mtoto na kuna uwezekano katoa mimba zisizozidi mbili kama hajatoa basi tumshukuru MUNGU na lazima hakuishi sana mjini vinginevyo imoooo!
ziko sababu nyingi zinazosababishwa kwanini wanaamua kuzaa kabla ya ndoa lakini kwangu nizongelee tatu zaidi:-
  1. kuudhiwa na wanaume kiasi kwamba kutowaamini wanaume na kuamua kuishi maisha ya upweke bora tu awe na mtoto kuliko maumivu aliyopewa na mwanaume na hawa huwa wapo kwenye umri wa miaka 25-28 walitendwa hivyo wanaona wako salama hivyo.
  2. pili ni muda umepita wa kutegemea kuolewa na hili linachangiwa kwa huwenda kwa muda wote hawakupata fursa ya kupata mpenzi anayemwamini au uchaguzi mbovu kipindi cha fursa ya kupata mchumba mfano unamkuta binti muda wa kutulia watu wamuone wamchumbie yeye anakula bata na mume wa mtu sasa hapa unafanyaje?
  3. wazazi wanasehemu kubwa hawakuwaanda mabinti kwa kuolewa na hasa kwa mabinti waliozaliwa kuanzia 1987- to date wengi hawajakaa kama wake wako kigirl friend tu wakutumika hata akija gheto hawawezi kumsaidia mvulana kubadilisha mashuka achilia mbali kufua wanazipenda mno kucha zao. wazazi watalaumiwa kwa kudekeza watoto ni jambo la kawaida kwa binti kukuta mmewe anapika yeye anachart sasa gharama yake mwanaume lazima atafute stress active nje ya mke na mwisho wa siku anazalisha mtoto mwingine nje.
yako mengi lakini wazazi kwa hili hamtabaki salama hivyo leeni vijikuu tu
 
Kwanza ni swala la wadada kuangalia mionekano ya wanaume badala ya mapenzi ya dhati, unakuta Dada anapendwa na jamaa ila ye hamtaki sababu hana muonekano, hivyo anaamua kuwa na jamaa mwenye muonekano ambao wengi ni mabishoo wasio na mbele wala nyuma matokeo yake wakiwapa mimba hao kina Dada wanashindwa kutimiza majukumu. Kingine kina Dada wanaangalia sana pesa kuliko upendo wa kweli, mwanaume najua kabisa we umenipendea pesa na huna mapenzi ya kweli na mimi hivyo ni bora tu nikuzalishe na nimhudumie mwanangu kuliko kuishi na wewe.
Exactly
 
Ukweli mtupu!!
Wengi wao wanataka kuzaa/kuwa na watt wenye mionekano mizuri wawanyoe vduku vyao na kuwapeleka kupiga picha waweze kuwatambia wenzao kuwa ana mtt mwenyew sura nzuri km ya bwana wake(wengi wao wanakuwa mabishoo..wakati kiuharisia huyo baba wa mtt anakuwa hana mbele wa nyuma ila binti katamani tu amzalie mtt, akimtazama nafsi yake iridhike,,, wasipobadirika watazalishwa sana
Akili za wanawake bwana
 
Ila wengi wasomi wanawake nimeona wengi hawana watoto na wengine wanalea watoto za dada zao au wadogo zao sijui shida ni nini kwa nini hawazai na umri unakuta ushasogea kiasi
Mimba wanatoa sana unakuta washaharibu hawana uwezo wa kubeba mimba tena
 
Ila wengi wasomi wanawake nimeona wengi hawana watoto na wengine wanalea watoto za dada zao au wadogo zao sijui shida ni nini kwa nini hawazai na umri unakuta ushasogea kiasi
Mimba wanatoa sana unakuta washaharibu hawana uwezo wa kubeba mimba tena
 
Back
Top Bottom