Wimbi la wadada wa sasa kuzaa bila kuolewa chanzo ni nini?

Kwenye swala la kuzalia nyumbani:-
Ugumu wa maisha
Umri
Uhuni uliopitiliza (hata baba wa mtoto hafaamiki)
Kukataliwa na baba kijacho ( kutendwa au kutendana)
Ugomvi sugu katika mahusiano
 
Kwanza ni swala la wadada kuangalia mionekano ya wanaume badala ya mapenzi ya dhati, unakuta Dada anapendwa na jamaa ila ye hamtaki sababu hana muonekano, hivyo anaamua kuwa na jamaa mwenye muonekano ambao wengi ni mabishoo wasio na mbele wala nyuma matokeo yake wakiwapa mimba hao kina Dada wanashindwa kutimiza majukumu. Kingine kina Dada wanaangalia sana pesa kuliko upendo wa kweli, mwanaume najua kabisa we umenipendea pesa na huna mapenzi ya kweli na mimi hivyo ni bora tu nikuzalishe na nimhudumie mwanangu kuliko kuishi na wewe.
 
Mapenzi Hayana formula wala manual
 
Ukweli mtupu!!
Wengi wao wanataka kuzaa/kuwa na watt wenye mionekano mizuri wawanyoe vduku vyao na kuwapeleka kupiga picha waweze kuwatambia wenzao kuwa ana mtt mwenyew sura nzuri km ya bwana wake(wengi wao wanakuwa mabishoo..wakati kiuharisia huyo baba wa mtt anakuwa hana mbele wa nyuma ila binti katamani tu amzalie mtt, akimtazama nafsi yake iridhike,,, wasipobadirika watazalishwa sana
 
Back
Top Bottom