Wilson Mukama: Public and Private Profile

Sasa Daktari anae-kufanyia uchunguzi na akagundua ugonjwa na akasema anaweza kukutibu, umuache ukatafute mwingine?
 
Huu ni ufisadi mwingine, hapo wame2pa tena hoja. Bomu jingine kwa CCM. Mi nakipenda hiki chama kwa kuboronga!!. Kwa hilo Hawa Ghasia anatakiwa ajiuzuru
 
I believe u made a big mistake in putting up this criticism. Actually umetoa maneno mengi tu ya kumsifia huyu Mukama!
 
Sasa Daktari anae-kufanyia uchunguzi na akagundua ugonjwa na akasema anaweza kukutibu, umuache ukatafute mwingine?

Sasa wewe Majimshindo unaleta utani. Unasema daktari anae wakati yupo kwenye pay roll ya serikali na sio CCM, sasa ane kivipi. Suala hapa ni kwanini Mkama aishi kwa kodi ya watanzania wapatao milioni 43 wakati anaifanyia kazi CCM yenye wanachama ambao hata baada ya kuchakachua idadi ni milioni 5 tu? Tumia ubongo na sio tumbo katika kufikiri ndugu yangu
 
Jamani nisaidieni kufahamu, Hivi huyu Mukama hana mazuri alofanya?
 
Anaweza kuwa incompentent katk sehemu hizo nyingine ulizosema lakini akawa ameshinda ndani ya chama. kwa hiyo tutampima baadaye maana sijamsikia sana katika siasa ndiyo leo namsikia. Ila naona kama is another gamble for JK
 
Nyoka ndie huvua magamba yake"ngozi ya juu". Ina maana CCM ni kama Nyoka. Na kwa nyoka asili yake Shetani!! Na Nyoka huvua gamba lake lote na la kichwa. Mbona Kikwete ndo kichwa cha CCM hakuvuliwa!! Kwani Membe, Mkuchika na Chiligati ni mafisadi mpaka tuseme chama kimejisafisha????
 
Kwa hyo makamba aliwafaa sana? Duu.

Mbona munahangaika sana na Mukama, Makamba, CCM na uchafu wao?

Kwani nyoka akivua gamba anakuwa mbuzi wa shughuli. Mukama like Makamba is another liability.

Huwezi kubadilisha CCM kwa kubeba kiumbe kingine kilichotumika na CCM kwa miaka yote hiyo na ukategemea eti umefanya changes!

TAKA-TAKA!
 
Is he a politician?

Mukama sio mwanasiasa wa kuweza kuhimili mikikimikiki ya akina Dr Slaa. Ningekuwa ndani ya akili na utashi wa JK, Kinana angekuwa chaguo langu kwa sasa. Kwa nini Kinana anakwepa jukumu hili mimi sielewi.
 
wakuu kama ni huyu kwenye picha, jamaa anauwezo mkubwa sana wakutetea hoja hata kama ni PUMBA, Nilimwona wakati wakampeni jamaa alijitahidi kutoa data za kutetea chama na kwa kweli aliweza kutetea sehemu kubwa JAMAA NI MZURI tatizo ni huo ufisadi wa ccm!
 
This guy seems to be better off makamba and many more withn CCM,kwa hili nakupa tano JK.Dhamira njema.

hakuna dhamira hapa. Nape hali yake ni mbaya kwani UKIONDOA WAJUMBE WA KUDUMU, anazungukwa na pro RA and EL. EITHER JMK HANA UHUSIANO MZURI NA TISS (MANAKE TETESI NI KUWA BOSI NI PRO RA) OR ANACHEZA NA PUBLIC MAKUSUDI. HAKUNA JIPYA JAMANI...THE WHOLE SYS. IS CORRUPTED
 
watu mmejaa majungu tuuuuu humu,sifieni panapostahili,tunahitaji wanaCDM wenye hekima na busara humu ndani,mana mnatufanya hata watu ambao kazi yetu ilikuwa ni kusoma tu hii page tuanze kuboreka,hebu tuifanye hii page iwe ya kizalendo zaidi we will get more and more people,master wetu mwenyewe(Mbowe) kakubali hilo chezo walioicheza CCM,huo ndo utashi wa kisiasa,penye urojo unasema na penye mnofu unapasema,kilichobaki ni kuwa watendaji ndani ya serikali nao waanze kubandua magamba yao mapema,kamanda mbowe na wenzie watusaidie ili kukamilisha hili mana moja kati ya majukumu ya vyama vya upinzani inapoisha uchaguzi ni pamoja na kuikosoa serikali ili ifanye vzuri siyo majungu tu kama ambavyo wanaJF wengi wanadhani.
 
Ninavyofahamu Katiba ya CCM, Katibu Mkuu na hata wale makatibu wa mikoa wanatokana na wajumbe wa NEC ya CCM. Wilson Mukama sio MNEC. Anapewaje Ukatibu Mkuu?
 
hahahaaaaa asante bwana mkubwa
Sio kama wewe sio mwana CCM unataabika na nini...au huko ni kujikomba? CCM kama chama wametafakari na wamegundua he is the only clean guy amongst themselves...ukweli hata mimi nilitarajia kuwa huyo mzee angeleiweza kupewa hiyo nafasi...hebu tazama mdahalo fulani pale ITV akiwa anongea kuhusu uchaguzi kama muwakilishi wa CCM...mlingasnishe na Chiligati au Tambwe Hiza....hata hivyo Zito Kabwe atakuwa mahututi kwani alichelewa kutoa uamuzi wa kuhamia CCM ili apewe nafasi aliyopewa NAPE.
 
ikiwa Mkama ndani ya ccm ndiye anaonekana kuwa the best chief strategist (Gen Secretary) basi ccm is in the blink of corrupsing. Kwa sababu for sure, mbali ya utendaji wake ktk nafasi zote alizowahi kuzawadiwa, ni mbabaishaji just like Makamba. I expected ccm wangekuja na mtu anayeweza kuonekana au kuwa na mvuto wa kisiasa kama walivyo makatibu wakuu wa vyama vya upinzani.

Jk ameondoa garasa, kisha amechagua garasa.
 


Sawa sawa mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…