Wilson Mukama: Public and Private Profile

Wilson Mukama: Public and Private Profile

Hivi CCM ni ya wananchi wote au wanachama? kama wanachama wamemcahgua kelele za nini? za toka wapi?
 
anaweza kuwa ana mapungufu yake, lakini comment ulizo weka hapa zinaonyesha ni mtu mwenye uelewa, na kama ni utekelezaji hilo suala la social services huko vijijini nk si darisalaam , kama city director bali la kitaifa hivyo lipo nje ya uwezo wake wakati huo, sasa kama unaona kuna maneno menngine angeya tumia kuongelea hiyo rural to urban migration na vice versa ebu tupe. lakini point alizo ongea ni very relevant. kuhusu mgomo wa madkatari anaweza kuwa alipotoka/alikosea kutokana na nature ya viongozi wengi wa serikali/chama kuona wao ndio wao wengine hawajui kitu, but humn habits huwa zinabadilika kutokana na challenge zilizopo. ni sawa na wewe na mimi tunaweza kujiadjust na maisha kutokana na hali tunayo kabiliana nayo. leo hii wajapan walio zoe kila kitu bie, leo wanakubaliana na hali ya kuishi maisha tete, hakuna umeme/mgawo nk nk

Safiiii! Umeipiga vizuri kaka! Nadhani mtoa mada kwanza hajui tatizo la watu kuhamia mijini! Hana hoja ya msingi zaidi ya kutaka kuonesha Mkama hafai! Kaleta siasa zaidi kuliko ukweli halisi!
 
Hivi CCM ni ya wananchi wote au wanachama? kama wanachama wamemcahgua kelele za nini? za toka wapi?

CCM ni ya wananchi, Kumbuka maneno ya hayati baba wa Taifa. Lakini pia kumbuka kuwa Katibu Mkuu wa CCM ana impact kubwa sana hususani katika aina ya mtu wa kugombea urais katika uchaguzi ujao. Na mtu ye yote atakayepitishwa na CCM ana nafasi sawa na wagombea wengine kuupata urais. Ninachoona mimi hapa si swala la kusema yuko hivi ,yuko vile. Ni suala la system iliyopo. Ni sawa na kuweka supu ya moto kwenye bakuli la baridi. what will happen? Ni supu kupoa au bakuli kuchemka?
 
I'm just so sick of these CCM people. I wish they could just go away.
 
Mwenzenu mchana wote nimeshinda salama lakini baada ya kusoma eti katibu wa uchumi na fedha ZAKHIA Meghji niko hoi. Nashindwa ku koment ngoja nipate nafuu labda kesho
Hivi ni Zakia Meghji yupi vile? Ndiye yule aliyesimamia ukwapuzi wa fedha za EPA zinazoitesa serikali ya CCM hadi leo, mlaghai mkubwa aliyekanusha kutotokea hujuma hiyo Benki kuu (Akijua fika uharamia walioufanya) na baadae kuumbuka na kuwekwa pembeni kwa muda ili 'Wadanganyika' wasahau?
Kama huyo ndiye Meghji anayetajwa basi CCM 2015 wameshindwa kabla hawajaenda uchaguzini.
Tena haishangazi, si alichangia mamia ya mamilioni ati yeye na rafiki zake katika kampeni za kumweka madarakani JK awamu ya kwanza.
ama kweli sikio la kufa halisikii dawa.




 
nduka

Hiyo picha inatutisha wengine please itoe , kichefuchefu Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrh:love:
 
MAKAH;1841571]Huyu ni Mkerewe aina ya Wahaya - tabia sawa. Au la ni Mgita

Makah, Mgita ndo kabila gani na linapatikana wapi hapa Tanzania? Na kabila lina uhusiano gani na utendaji wa mtu?
 
After reading Slidingroof's article between lines, I have concluded that Mtoa hoja anatumia reverse psychology to disseminate his/her message. You don't have to be a neurosurgeon to realize that the author is an ardent supporter of Mr. Mukama....
 
after reading slidingroof's article between lines, i have concluded that mtoa hoja anatumia reverse psychology to disseminate his/her message. You don't have to be a neurosurgeon to realize that the author is an ardent supporter of mr. Mukama....

rufiji lugha hiyo tafadhali.
 
Naam in continuing with our tradition ya KU RECYCLE WATAWALA this time tumeletewa huyu jamaa ambaye if anything CCM should have done better badala ya kuleta tuu jina la mtu kuwa ndio SG bila kuleta mchakato uliotumika kumpata na pia kuleta profile yake kikamilifu na kuelezea mafanikio yake
Just thinking aloud, wakuu ? hivi ni chama kipi hapa nchini hakina recycled material?
 
Back
Top Bottom