mwahajoseph
Member
- Apr 11, 2011
- 6
- 1
Mukama mtu safi banaa mnyonge tumnyongee lakini haki yk tumpatie,wabongo kwa kupondaaa,hz point kwenye hy unayoiita profilee umezidiwa hoja aisee very week
Wacha hiyo, si Wahaya wote wanapenda sifa, tena wengine wala huwajui!!!!!!!!!Ni muhaya kujisifu ni lazima i mean iko kwenye damu labda uongelee kingine
Mukama aliwahi kumponda Keenja kuwa hakufanya lolote la maana alipokuwa m/kiti wa tume ya jiji. Tujiulize jee yeye alifanya lipi alipokuwa mkurugenzi wa jiji baada ya keenja. Anaweza akawa bomu kuliko Makamba, yetu macho😛anda:
Matatizo ya watanzania kupoteza matumaini ya maisha katika Nchi yao iliyojaliwa rasilimali za kutosha kutokana na utawala dharimu wa ccm hauwezi kuondolewa na Mukama wala Nappe, swala hapa ni KAIBA mpya na Chama mbadala kitakachoisimamia Katiba hiyo mpya kwa maslahi ya Watanzania walio wengi.
Ni muhaya kujisifu ni lazima i mean iko kwenye damu labda uongelee kingine
Lazaro, hebu shed more light basi ndugu yangu:disapointed:Your excellency pls I know you will pass here before your final announcement of you good will SECRETARY GENERAL of CCM.Mr Chairman you making a great mistake by appointing this very person,from the latest duty he did during the parliamentary committee meeting in Dar last two week, he presented the financial report as a chairman of one of the public company in which he safeguarded the false report in a manner that every member of that committee was shocked.but final the member manage to send him back with his fake report.My President,here is man now you appoint him in that very big office...No No No.....Tanzania is of full of well braved people,almost 45mil....why he...please make up you mind ......He is not a man to be dea....
atakuwa mtu wa Ukerewe ,bukoba au ukerewe,ili jina liko pande zote.
I wish to point out kuwa header ya thread imefanyiwa editing without my consent or even consultation na one of the JF's unknown moderators
Header yangu ilikuwa : WILSON MUKAMA: Public and Private Profile
Sijaweka bado personal view kama ambavyo thread header inavyosema ila nimeweka criticism on the article ambayo MUKAMA aliandika kujisifia
![]()
Naam in continuing with our tradition ya KU RECYCLE WATAWALA this time tumeletewa huyu jamaa ambaye if anything
-Alikuwa mstari wa Mbele kuwatisha Madaktari walipogoma Muhimbili. By then alikuwa ni Permanent Secretary wizara ya afya. Badala ya kutafuta njia ya maana ya kutatua ule mgogoro he was busy devising brutal methods za kuuzima ule mgomo badala ya kuangalia njia mbadala.
-Alipokuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar hakuna lolote la maana alilolifanya ambalo tunaweza kusema kuwa lili kuwa ni major achievement zaidi ya kuwa the City was more dirtier, unsafe and disorganised than ever. Traffic police wakapewa kazi za kudumu kuongoza magari badala ya kutengeneza taa za kuongeza magari. Waliofanya naye kazi kule jiji wanasema kuwa huyu bwana if anything ali alienated a lot of people (direct and indirect) not necessarily with his policies, but with his undisguised belief kama alivyokuwa Keenja that Dar belonged to him. Bwana Mukama alisahau kuwa he was there to serve wana Dar lakini instead treated jiji like his fiefdom.
Mtakaosema kuwa namwonea lakini lets face it yeye mwenyewe aliwahi kusema hivi alipokuwa City Director:
"I want to see a much more livable Dares Salaam -- in terms of security, of course, but especially in terms of affordability".....a much more planned Dares Salaam" would eventually lead to "a much more manageable", "much cleaner" and "much safer" city.
The truth ni kuwa what we got from him was the opposite
Na kwa kuonyesha kuwa he is out of touch hebu soma solution yake kuhusu vijana wanaotafuta rizki Dar:
"of course, we have to address the causes underlying rural problems. We have to encourage the youth to stay in the rural areas so that there is less migration to Dares Salaam. But that means that there must be viable economic activities to sustain them there--cash crops, good living conditions and availability of services, for which they normally come to town, such as education, health and the provision of safe water. The temptation to move will ease if these services are made available within our rural areas and if the people there have some gainful economic activities--they produce their crops and they sell them.
Typical response from out of touch City Director ambaye kasahau kuwa its basic human right ya Mtanzania kuishi kokote kule atakako Tanzania without interference from people like MUKAMA.
Anazungumzia kupeleka huduma vijijini lakini nani kamwambia kuwa kila kijana anataka kuishi kijijini? au kila kijana anataka kuwa mkulima? dont worry, haya ndio mawazo na mentality ya MUKAMA juu ya vijana ...wakae vijijini wawe wakulima. Cha ajabu wanawe hawaishi vijijini.
MUKAMA THE RACIST:
Showing out of touch na jiji la Dar Mukama anaendelea kuwatuhumu vijana toka mikoa ya kusini kujaza jiji la Dar bila any supporting data or any facts kwa kudai kuwa:
"Most of these young men, who peddle goods on the road, are from the South."
really? Kama anazungumzia Immigration caps to Dar why single out vijana from Kusini?
MUKAMA THE OUT OF TOUCH:
Huyu bwana anajisifia alivyotumia pesa za walipa kodi kwenda kwenye mikutano ya kimatafaifa kwa kusema hivi:
In my one year as City Director of the City Council of Dar es Salaam, I have benefited from attending a number of international conferences. Some of the best practices discussed at these conferences have contributed immensely to my understanding of the ways local authorities around the world are getting the people involved, especially in the area of governance.
Ukweli ni kuwa local authorities Dar chini yake hazikuwa involved kwenye chohcote kile. Mfano chini yake leseni za Bar zimetolewa kama uyoga bila kuzingatia sheria za serikali za mitaa ( msisahau alishawahi kuwa TAMISEMI) ambazo ziko very strict on eneo la mraba na time ambazo hizi bar zinatakiwa kufunguliwa. Maoni ya wananchi waliopo eneo lile, issues za afya na biala kusahau wagonjwa na watoto..mfano mzuri chini ya uongozi wake eneo lilalo zunguka hospitali za Mwananyamala na Ilala zimekuwa na Baaa nyingi ambazo zinapiga makelele za miziki mpaka saa 9 usiku bila kuzingatia wagonjwa na watoto ambao wanatakiwa kwenda kusoma kesho yake.
Sasa whats the point of kujisifia kwenda kusoma halafu kakuna faida ya hiyo misafara?
KUHUSU DAR
Mukama the Walter Mitty Character anasema hivi:
"I want to see a much more livable Dar es Salaam--in terms of security, of course, but especially in terms of affordability. A city, in other words, where people have a good income and can afford to pay for the various services available to them--housing, transport, recreation areas. We plan to carry out an urban renewal in some areas, because if we don't have enough open spaces, our city won't be able to breathe and will choke. We are attempting to make our beaches safe and clean so that people can relax there. They should not just always spend their free time inside their houses because they have no better choice. We need more open spaces, with more gardens, recreational parks."
Sina haja ya kusema mengi kuhusu hili kwani kila mtu anajua what we got in return.
Baadae ntarudi na mengine
Lakini in short this is another incompetent propagandist aliyeteuliwa ambaye hana jipya...infact amekuwa RECYCLED like the other lot
source ya majisifa aliyojipa Mukama iko hapa:
'A Much More Livable Dar Es Salaam': Sustainable Urban Development. Magazine Title: UN Chronicle. Volume: 38. Issue: 1. Publication Date: March-May 2001. Page Number: 24+. COPYRIGHT 2001 United Nations Publications
Taabu yetu Tz nikung'ang'ania viongozi fulani kama vile hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuongoza! Ni kama HAWA WANAOKUWA RYCYCLED waliUMBWA MAALUM KUTUONGOZA HADI WAFE!!!! Tunachohitaji kwa sasa ni kuwakataa hawa MAKAPI tunayoletewa na kushinikiza wapewe nafasi watu wengine WALAU NAO WAJARIBU (kama makapi yanarudi na nyimbo zilezile zlizoleta failures ni afadhali tuwape benefit of doubt wasiojulika na tuone watatupatia nini)
sidhani kama ni muhaya huyu....