Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

Kati ya hao huyo mwigulu ni jembe haswa,i tell you! He is smart!! Hapa kunatakiwa upinzani ujipange mno kama unataka kufunga bao 2015,ccm wameshausoma wchezo tayari n

we vipi bwana?unaongelea watu ambao hawajawahi hata kuwa wajumbe wa nyumba kumi..mwihulu jembe la nini?kule kwetukuna vile vijembe vilivochakaa tunatumia kuzolea kinyesi watoto wakinya basi ndo itakuwa huyu Mwigulu
 
Saa ingine huwa natamani watu wengi wangekuwa wanafikiria kama mimi. Kwa mfano, ingekuwa juu yangu mimi, haya ma CCM yangewekwa benchi kwanza halafu haya mabadiliko yayafanye yakiwa huko huko benchi.

ndo mabadiliko yanatakiwa kufanywa hivo...wakajipange upya huko ndo wajibandua hiyo mima gamba sijui
 
Saa ingine huwa natamani watu wengi wangekuwa wanafikiria kama mimi. Kwa mfano, ingekuwa juu yangu mimi, haya ma CCM yangewekwa benchi kwanza halafu haya mabadiliko yayafanye yakiwa huko huko benchi.

Miafrika ni vigumu kuyaweka bench mpaka atokee mui-al-shabaab , awe shabaabu wakiwa wamekusanya mjengoni.Vinginevyo hawatoki kilaini hawa jamaa.
 
Kupotea kwa imani ya wananchi kwa CCM hakutokani na safu ya uongozi uliopo pekee bali pia na sera ya chama hicho ambayo imefanya chama hicho kipuuzie mwananchi wa kawaida na kukumbatia mafisadi. hivyo bila ya chama hicho kujitenga na mafisadi kamwe hakiwezi kurejesha imani ya wananchi.
 
kweli ccm imepania,hzo figure hapo si mchezo eg mwigulu,very young and ambitious,an ex ilboru and pro-migomo udsm,a.k.a chief,jaman upin9ani utakosa agenda.be aware.

sasa kama kinye.,si kimepuliziwa perfume tusiseme?

Gamba sasa linakuwa la cobra, maana wamejaza mtoto ya cobra
 
we vipi bwana?unaongelea watu ambao hawajawahi hata kuwa wajumbe wa nyumba kumi..mwihulu jembe la nini?kule kwetukuna vile vijembe vilivochakaa tunatumia kuzolea kinyesi watoto wakinya basi ndo itakuwa huyu Mwigulu
Ha ha ha haaah!! Kigogooo.....
 
New Members of CENTRAL COMMITEE
Nahodha, Mwinyi, Pindi Chana, Kigoda, Wassira, Likuvi, Kinana, Megji, Mbawala, Mrs. Buhie- M'Kiti CCM Kagera, January Makamba-head Foreign Secretari
t( Nafasi ya Membe), Asha Juma, Mchemba Mwigula-Singida. + Other permanent Members eg.Mkapa, Mwinyi, Malecela
 
Miafrika ni vigumu kuyaweka bench mpaka atokee mui-al-shabaab , awe shabaabu wakiwa wamekusanya mjengoni.Vinginevyo hawatoki kilaini hawa jamaa.

Kama lile li Gbabo...si umeona lilivyoadhirika? Yaani utadhani yote yamezaliwa baba mmoja mama mmoja. Makhabithi kabisa haya mamtu. I really hate them.

They have an arrogant sense of entitlement as if they are the only ones.....
 
Miafrika ni vigumu kuyaweka bench mpaka atokee mui-al-shabaab , awe shabaabu wakiwa wamekusanya mjengoni.Vinginevyo hawatoki kilaini hawa jamaa.

atawashaababu vichwa vyote hata Mnyika na Mdee, Slaa na Lipumba wanaongoza nchi Mbowe na wenziwe wakishaababiwa!

Simo.
 
Je January ataweza kuwa mstaarabu na mwenye hekima kuzidi baba yake? Nadhani kwa CCM haikuwa sawa kumpatia nafasi kwa kipindi hiki
 
CCM hata akabidhiwe Malaika, Nitaendelea Kuichukia kwa Moyo wangu wote! Ninaichukia kwa Sababu inapenda kuwahadaa Wananchi Wajinga
 
New Members of CENTRAL COMMITEE
Nahodha, Mwinyi, Pindi Chana, Kigoda, Wassira, Likuvi, Kinana, Megji, Mbawala, Mrs. Buhie- M'Kiti CCM Kagera, January Makamba-head Foreign Secretari
t( Nafasi ya Membe), Asha Juma, Mchemba Mwigula-Singida. + Other permanent Members eg.Mkapa, Mwinyi, Malecela

hakuna gamba lililobanduliwa hapo!
 
Back
Top Bottom