Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

Ha ha ha ha ha........................Baba kaondoka mwana kaingia,kaaaaaaaaaazii kweli kweli singewezekana ukoo wa Makamba usiwe kwenye uongozi wa CCM kama ambavyo ukoo wa Kikwete ulivyo........................

IMBOMBO JILIPO...
 
Kweli ccm imepania,hzo figure hapo si mchezo eg mwigulu,very young and ambitious,an ex ilboru and pro-migomo udsm,a.k.a chief,jaman upin9ani utakosa agenda.be aware.
wishful thinking. We are aware.
 
Baada ya pongezi kwa vijana wa CCM walioingia madarakani, lakini ukweli unabaki palepale kuwa CCM kama CHAMA bado kinakumbatia mafisadi.

Ilitakiwa statement iseme mafisadi hatuwataki kwenye chama chetu na tunapinga ufisadi kimatendo.

Bado Chadema wataendelea kupeta sababu CCM matatizo ya wananchi bado hawayaoni na kuyatafutia solution.

Kina Myika, Mdee, Lissu endeleeni kuweka wananchi mbele na kuwatetea wananchi na kusema oozo wa serikali ya CCM na chama chenyewe.

Mungu ibariki TZ
 
Guys!!....kama hamjaridhika poa tu!,kwani chama chenu?...nyie ni maadui wa bongo kwa hiyo tunataka kuwamaliza sio kuwaridhisha.....duh!
 
Eti wamejivua Gamba

Katibu Mkuu- Wilson Mukama
Naibu Katibu Mkuu (Bara) John Chiligati
Naibu Katibu Mkuu (Visiwani) -Vuai Ali Vuai
Katibu Mwenezi- Nape Nauye
Mambo ya Nje –Januari Makamba
Organaizesheni – Asha Abdala Juma
Uchumi na Fedha -Mwigulu Nchemba

WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU

Anna Abdalah
Peter Kisumo
Mwigulu Nchemba
Januari Makamba
Aly Juma Shamhuna
Wilson Mukama
Emmanuel Nchimbi

WANAOINGIA KAMATI KUU

Pindi Chana
Abdulrahman Kinana
Zakhia Hamdan Meghji
Abdalah Kigoda
Steven Wasira
Costansia Buhiye
William Lukuvi
Dk. Hussein Ali Mwinyi
Dk. Maua Daftari
Samia Suluhu
Shanmsi Vuai Nahodha
Omary Yusuf Mzee
Prof. Makame Mbarawa
Mohamed Seif Khatibu

Kuna Gamba lolote lilovuliwa hapo au? hawa jamaa wanadhani Watanzania bado wajinga

MA2VI YAMEPIGWA PERFUME


CCM INAKUFa
 
I am sorry kama utaona nakushadadia ila ukweli ni kwamba unaharibu dada, hawaendi hivyo.

Hawaendi hivyo kina nani?Kama umezoea kuiga ni wewe.Ngoja nikupotezee usije kuniharibia furaha yangu bure.

Koo nne bado zinakamata ulingo.Umenipata?
 
Kama lile li Gbabo...si umeona lilivyoadhirika? Yaani utadhani yote yamezaliwa baba mmoja mama mmoja. Makhabithi kabisa haya mamtu. I really hate them.

They have an arrogant sense of entitlement as if they are the only ones.....

Unaona lilivyo na roho ya paka, limetoa mimacho linajipangusa jasho, yote miafrika iko vile.
 
Eti wamejivua Gamba

Katibu Mkuu- Wilson Mukama
Naibu Katibu Mkuu (Bara) John Chiligati
Naibu Katibu Mkuu (Visiwani) -Vuai Ali Vuai
Katibu Mwenezi- Nape Nauye
Mambo ya Nje Januari Makamba
Organaizesheni  Asha Abdala Juma
Uchumi na Fedha -Mwigulu Nchemba

WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU

Anna Abdalah
Peter Kisumo
Mwigulu Nchemba
Januari Makamba
Aly Juma Shamhuna
Wilson Mukama
Emmanuel Nchimbi

WANAOINGIA KAMATI KUU

Pindi Chana
Abdulrahman Kinana
Zakhia Hamdan Meghji
Abdalah Kigoda
Steven Wasira
Costansia Buhiye
William Lukuvi
Dk. Hussein Ali Mwinyi
Dk. Maua Daftari
Samia Suluhu
Shanmsi Vuai Nahodha
Omary Yusuf Mzee
Prof. Makame Mbarawa
Mohamed Seif Khatibu

Kuna Gamba lolote lilovuliwa hapo au? hawa jamaa wanadhani Watanzania bado wajinga
Hakuna gamba lililovuliwa hapo..
 
MA2VI YAMEPIGWA PERFUME


CCM INAKUFa
Hivi ni kwa nini unashadadia sana mkuu?,mi nadhani si wakati muafaka wa kusema kwamba CCM inakufa,cha msingi tuangalie utendaji kazi wa hii Secretariat mpya na CC mpya,tuwape nafasi kwanza ndo tuanze kuwahukumu.......

Pia hatumtendei haki January Makamba kwa kusema kwamba katoka Makamba kaingia Makamba,hawa ni watu wawili tofauti(japo ni mtu na babaake)....January anaweza kuwa mzuri kiutendaji ndani ya CCM tofauti na baba yake...........

Tuwape nafasi wafanye kazi ndo tuwahukumu
 
dah,hata sijui hata mtu usemeje yani dah dah dah dah, ch kusikitisha wengi tu watadanganyika na udanganyifu huu.
 
wakuu ccm haina namna ya kupona,kuna mifumo very complex kuifumua.hawa wametafuta watu wataoweza siasa za cdm.na hilo halikuwa tatizo la ccm.wataendelea kupigwa na hoja zile zile na majibu watatoa yale yale
 
Yaani Hussein Mwinyi na Ali Hassan Mwinyi wote wanakuwa kwenye kamati kuu!! Haya mambo ya ajabu sana!
 
Hivi kuna watu na Akili zao kabisa wana Imani kwamba kuna siku CCM kitarudi kuwa Chama cha Maskini Kweli? Hapa watu tumekaa tunakodolea na Kushnagilia Pande Mbili ndani ya CCM zinapoamua Ku Compromise, na Kusamaeheana na Kuahidiana Kuacha Kunyukana Hadharani kwa Maslahi ya Uhai wa Chama na si Maisha ya Mtanzania

Watu wanashangilia Lowasa ametoswa je Sitta amerudi? Hili Changa la Macho tu kama ilivyokuwa kwenye Uspika
 
Hawaendi hivyo kina nani?Kama umezoea kuiga ni wewe.Ngoja nikupotezee usije kuniharibia furaha yangu bure.

Koo nne bado zinakamata ulingo.Umenipata?

Naona kuna watu hawaelewi hii dhana yako ya koo tawala inatokea wapi, kwa faida yao naweka rejea hapo chini:

Regia Mtema: koo saba tuu ndio zinazotawala TANZANIA
mbunge kivuli wa kilombero ambaye pia ni mbunge wa viti vya upendeleo vya kinamama kupitia chama maharufu kwa maandamano kwasasa bibi Regia Mtema amesema Tanzania inatawaliwa na koo saba tuu,akiongea katika ufunguzi wa ofisi ya chadema pale udom,mtema alisema" watanzania zaidi ya milioni 40 wanaongozwa na koo saba tuu,alizitaja koo hizo ni kuwa,ukoo wa kikwete,ukoo wa pius msekwa,ukoo wa karume,ukoo wa makamba,ukoo wa rostam,ukoo wa mzee mwinyi" alipofika kwa Lowasa alisema huyu jamaa ana nguvu sana na ana ushawishi mkubwa sana wa kisiasa na kiuchumi,eti Lowasa ana nguvu ya kuamua nani awe mjumbe wa kamati fulani na hakuna atakayepinga,kimsingi kutokana na matamshi yake ilionekana wazi alikuwa akiogopa nguvu kubwa ya kisiasa na kiuchumi aliyonayo bwana Lowasa!
imeripotiwa na Deodatus wambura aliyekuwa eneo la tukio​

Last edited by Kashaga; Yesterday at 07:25 PM.​
 
Back
Top Bottom