Wengi ni walewale...New Members of CENTRAL COMMITEE
Nahodha, Mwinyi, Pindi Chana, Kigoda, Wassira, Likuvi, Kinana, Megji, Mbawala, Mrs. Buhie- M'Kiti CCM Kagera, January Makamba-head Foreign Secretari
t( Nafasi ya Membe), Asha Juma, Mchemba Mwigula-Singida. + Other permanent Members eg.Mkapa, Mwinyi, Malecela
Kama wapinzani lazima tutafute hoja.Hii ndio naanza nayo.Umenipata babito/mamito?Mnatupiga kwahiyo nasi tunawapiga hivyo hivyo.
Kama wapinzani lazima tutafute hoja.Hii ndio naanza nayo.Umenipata babito/mamito?Mnatupiga kwahiyo nasi tunawapiga hivyo hivyo.
Uwiano wa kijinsia au uwiano wa Bara na Visiwani?PHP:Tumekubaliana kuwa na uwakilishi unaowiana - JK
Saa ingine huwa natamani watu wengi wangekuwa wanafikiria kama mimi. Kwa mfano, ingekuwa juu yangu mimi, haya ma CCM yangewekwa benchi kwanza halafu haya mabadiliko yayafanye yakiwa huko huko benchi.
Hebu toa kwanza boriti!!Kama wapinzani lazima tutafute hoja.Hii ndio naanza nayo.Umenipata babito/mamito?Mnatupiga kwahiyo nasi tunawapiga hivyo hivyo.
CCM hata akabidhiwe Malaika, Nitaendelea Kuichukia kwa Moyo wangu wote! Ninaichukia kwa Sababu inapenda kuwahadaa Wananchi Wajinga
Kama kweli wanataka kujisafisha wawatimue hao wanachama wenye utovu wa maadili.Utovu wa maadili miongoni mwa wanachama ni moja ya changamoto zilizokuwa zikikikabili chama, tumekubaliana kuwa sasa basi
New Members of CENTRAL COMMITEE
Nahodha, Mwinyi, Pindi Chana, Kigoda, Wassira, Likuvi, Kinana, Megji, Mbawala, Mrs. Buhie- M'Kiti CCM Kagera, January Makamba-head Foreign Secretari
t( Nafasi ya Membe), Asha Juma, Mchemba Mwigula-Singida. + Other permanent Members eg.Mkapa, Mwinyi, Malecela
New Members of CENTRAL COMMITEE
Nahodha, Mwinyi, Pindi Chana, Kigoda, Wassira, Likuvi, Kinana, Megji, Mbawala, Mrs. Buhie- M'Kiti CCM Kagera, January Makamba-head Foreign Secretari
t( Nafasi ya Membe), Asha Juma, Mchemba Mwigula-Singida. + Other permanent Members eg.Mkapa, Mwinyi, Malecela
Thanx mkuu,Vyote mkuu, mawasiliano ni ya shida kiasi. Najaribu kusikiliza kwa umakini hapa
Huyu amemaliza masters yake ya uchumi hapo UDSM mwaka 2006 na amefanya kazi benki kuu toka hiyo 2006 mpaka mwaka jana alipoamua kuacha kazi na kwenda kugombea ubunge kwao huko Iramba Magharibi. Ni class mate wangu nimesoma naye hapo udsm, undergraduate na masters degree. Ni mchapa kazi sana sasa sijui system ya chama tawala itambadilisha au vipi, otherwise he is a good guy, ni kiongozi mzuri!
Koo ya pili imeshaingia.Naendelea kusubiri.
Ipi hiyo dada...Koo ya pili imeshaingia.Naendelea kusubiri.