Wilson Kabwe ang'oka Mwanza, ahamishiwa Dar

Wilson Kabwe ang'oka Mwanza, ahamishiwa Dar

nakuelewa sana,unaweza niita cck,ccj,ccm,zuzu na mengineyo lakini haiwezi kubadili ukweli,si siri Dar inaweza kuongoza kwa watu wanaoishi maisha ya tabu hapa tz,unapomlazimisha mtu mwenye njaa aje asikilize halafu akaondoka akaenda kulala bila kula huyo atakuwa na tatizo zaidi ya uzuzu.
Kama wanaishi maisha magumu masisiem mmefanya nini kuwakwamua?shame!!
 
Tunaenda kubaya kama vilaza wanateuana hii hatari, hivi hata Ghasia ana akili ya kumteua mtu makini kweli?

weka Cv yako tulinganishe na Hawa Ghasia, Willson Kabwe ni Jembe sana ndo mana Ghasia kamuona asogee jijini!
 
nauliza tu
Hawa Ghasia ndio anateuwa na kuhamisha wakurugenzi?
sio JK?
Hata hivo hii habari ni ya muda
 
Uhamisho na Wenje wapi na wapi?
Rudi kijiweni kwenu umuulize SUGU kijiti alichokuvutisha ni cha nchi gani?
 
nakuelewa sana,unaweza niita cck,ccj,ccm,zuzu na mengineyo lakini haiwezi kubadili ukweli,si siri Dar inaweza kuongoza kwa watu wanaoishi maisha ya tabu hapa tz,unapomlazimisha mtu mwenye njaa aje asikilize halafu akaondoka akaenda kulala bila kula huyo atakuwa na tatizo zaidi ya uzuzu.

Nini kifanyike?
 
Waziri Hawa Ghasia amemteua Wilson Kabwe kuwa Mkurugenz Mpya wa jiji la Dar akitoka Mwanza alikokuwa Mkurugenz. Hali hiyo imetafsiriwa kuwa ni kumng'o Kabwe Mwanza baada ya kuweka mizizi kwa muda mrefu na kupata kashfa kadhaa ikiwa ni pamoja na kumvua uraia Mbunge wa Nyamagana Mh.Ezekia Wenje wakati anagombea kiti hicho mwaka 2010.
Katika wakurugenzi walioitumikia nchi hii kwa mafanikio makubwa kwa jinsi nijuavyo, ni pamoja na mzee Wilso Kabwe. Kuhamishwa kutoka mwanza kwenda Dar es Salaam ni promotion kwa sababu jiji la Dar es Salaam ni kubwa kwa umri na hadhi. Akiwa mwanza kwa kipindi chote limeongoza kwa usafi mara saba kitaifa, mji umejengeka vyema. kama binadamu anaweza kuwa na mapungufu, lkn nadhani atairekebisha Dar ambayo nafikiri ni kati ya majiji machafu sana duniani.

niwaombe wanajamvi tufuatilie vizuri taarifa kabla ya kutoa michango yetu.
 
weka Cv yako tulinganishe na Hawa Ghasia, Willson Kabwe ni Jembe sana ndo mana Ghasia kamuona asogee jijini!
kweli ndugu, tukiona hawa ni viraza, tuombeni katiba iwe imewapa nguvu wananchi ya kuwapigia kura wakurugenzi, lkn kama si hivyo, tunaowaita vilaza watatuteulia sana
 
"Kinana" weka mbali na tembo....ccm ni wazee wakung'oa wananchi kucha na meno.ndugu wananchi tuiogope ccm ni janga la taifa.ccm no majangili ya tembo yakiongozwa na muhamiaji haramu mwenye uraia fake kinana
 
Hivi kung'oka kwa namna hii kweli kunabeba maana ya kung'oka? Kama ni hivyo basi kila mmoja hapa ameshawahi kung'oka. Kwa uelewa wangu kung'oka ni kuondolewa sehemu moja na hupelekwi kwingine...

"Kinana" weka mbali na tembo....ccm ni wazee wakung'oa wananchi kucha na meno.ndugu wananchi tuiogope ccm ni janga la taifa.ccm no majangili ya tembo yakiongozwa na muhamiaji haramu mwenye uraia fake kinana
Umepata jibu????????
 
Mimi namfahamu vizuri Wilson Kabwe, Tukiweka siasa kando Jamaa ni katika watendaji wazuri tuliobahatika kuwa nao hapa Tanzania...
 
Habari ambazo siwezi kudhibitisha zinasema jamaa ni corrupt mbaya kabisa
 
Muda sio mrefu Magesa Mulongo naye atang'oka arusha na kwenda sehemu nyingine na tayari ameshaandika barua ya kuomba kuhamishwa kwasababu amechoka kuzomewa kila kona anayokatiza arusha.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ahsante,siyo buku saba tena,tunakula sh100/-@comment,karibu lumumba.
Naogopa chale za masaburi nasikia prof wa korogwe anawachanja ili mtoke mapovu hata kama hoja ina ukweli mtupu...mfano katibu wa chama a.k.a jangili kinana mnavyotoa mapovu kumtetea...
 
Back
Top Bottom