Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

Status
Not open for further replies.
Kapita kwa wafadhili wake kupigwa msasa namna ya kujibu bila kuweka wazi anafadhiliwa na nani
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
 
DR Slaa ni Samsoni wa kizazi chetu.Baada ya kushindwa na ushawishi wa Delila,amesaliti kiapoa na Wafilisti wa lumumba watamtesa sana.Mungu wake atamrejeshea nguvu za kuwaangamiza Wafilisti wajinga,naye ndio utakuwa mwisho wake.
Pole sana kamanda Dr Slaa,kwa kweli nilikuamini kuliko mtu yeyote ila sasa basi,upo mikononi mwa Wafilisti kwa kujua au kuotokujua.
 

This is fatastic.
 
Kwani hamjui Dr Slaa ni Padri ? Leo jumapili atakua Madhabahuni
 
Tido ana maswali magumu hata ningekuwa mimi nisingeenda ukizingatia alichozungumza padri mzinifu ni uwongo mtupu
umenifurahisha sana hilo la padre mzinifu. Hawa ndio wanaharibu taswira ya kanisa katoliki. Alizaa mwaka 1985 wakati upadre aliacha mwaka 1992
 
Dr anatisha til tunaweweseka.... tunashkuru mbonaaa
 
Hivi wewe unasema nini? Vipindi vyote viwepo hewani ila hiki cha Slaa kishindikane? Unajuwa kile kipindi kinarekodiwa muda gani? Slaa amekacha na huo ndiyo ukweli. Subiri uletewe kila kitu kuhusu hilo! Kwa sasa kaa utulie!!

Tatizo unabisha kitu ambacho hata haukijui...Kwa sababu tu ya mahaba yako...

Kipindi hakitakuwa live...Ni recorded...Hata matangazo waliyokuwa wakiyatoa ni sehemu ya mahojiano ya Tido na Dk. Slaa ambayo yalirekodiwa Alhamis iliyopita...

Anyways ngoja nikuache uendelee kuamini unachokiamini...
 
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
Story za Bavicha hizi...kipindi kilisha recodiwa....
 

kama dr slaa ana uhakika na ushahidi alio nao dhidi ya lowassa, apeleke mahakamani.

ukiona hadi TAKUKURU wapo kimya ujue kwamba mzee wa mihogo anaongea uzushi...otherwise wangelikwisha kumuendea awape ushahidi ili wamfikishe lowassa mahakamani.

think before you react.
 
labda mungu wako wew. mungu wangu mimi hajaniambia kuwa lowasa ndiye rais.usimwongopee mungu kana kwamba mungu ni shemejiyo unamwongelea unavyojiskia wew. hebu kuwa na hofu juu yake.

Hapa mnaongelea Mungu au mungu???
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…