Slaa atazingumza chanel ten na star tv
Hawezi kwenda kwa tido mhando, maana pale atapigwa hardtalk anaweza kuZirai mana kuna maswali ya madogo lakini ya msingi ya kujibu kama
1.ulisema unashindia mihogo imepata wapi hela ya kuitisha mkutano unakadiriwa kuwa na gharama ya milioni 300? Mchumba amesema mtajenga mashule nk je mla mihogo anaweza miliki shule?
2.ufisadi wa ccm umeanzia richmond na kuishia richmond tu.?
3.list of shame ilikuwa na majina mengi vipi kuhusu majina mengine utayazungumzia lini maana nao wanagombea na kufanya kampeni kama chenge nk
4.kwa nini mnataka tuamini umaskini wa tanzania umesababishwa na mtu mmoja tu, yaani lowasa
ccm imesababisha hali mbaya ya uchumi, elimu duni, afya mbovu nk unataka tuamini lowasa ndo kasababisha yote haya..?
mengine ya kiuchonganishi
5.bado unaamini ccm ni wezi wa kura..?! Maana mwaka 2010 ulikataa matokeo ukilalamika ccm walikuibia ushindi bado unaamini ccm ni wezi, je unawashauri nini ukawa safari hii.?
yaani slaa angenikuta mimi hapo studio, angetoka baruti, ila bora kamhepa tido maana kazi aliyotumwa ingekuwa ngumu sana