Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

Status
Not open for further replies.
Kumbuka huo ni muda wa ibada? ! Be careful. ALIPO DR SLAA SISI TUPOOO NYUMA YAKE. MPAKA KIELEWEKE

Mpo nyuma yake mnafanya nini? muhuni mkubwa we! muache dr.mihogo kishapoteza dira.
 
Na bado hajapambana na kubenea hapo ndipo hali itakua mbaya zaid kama anawakimbia wanahabari tu bado wenye mali
 


Ubarikiwe mkuu....waje wajibu wahuni hawa.

Wao wapambane na Lowasa na sisi tunapambana kuitoa ccm.

kura yangu na familia yangu ni kwa LOWASA.
 
Mtu atakapomwekea BWANA nadhiri, au, atakapoapa kiapo ili kufunga nafsi yake kwa kifungo, asilitangue neno lake; atafanya sawasawa na hayo yote yamtokayo kinywani mwake.
HESABU 30;2

HATUTAKI KUSIKIA WASALITI HAPA.
 
Hata kama mimi ndio ningekuwa Dkt Slaa,
nisingekubali kufanya interview na Tido Mhando,
Jamaa ana maswali magumu sana!
Pongezi kwako Dkt Slaa kwa kutoka Nduki.

Kuna siku Tido alimpiga Kinana maswali mazito hadi nikaona aibu kwa niaba ya Kinana.
 
Kumbuka huo ni muda wa ibada? ! Be careful. ALIPO DR SLAA SISI TUPOOO NYUMA YAKE. MPAKA KIELEWEKE

Basi hako kababu kapo confused, kwani wakati wanaweka miadi na Tido hakujua kuwa saa tatu asubuhi atakuwa kwenye ibada. Kwanza hiyo ibada ya kanisa gani, maana kama ni katoliki na lutheran katukana kuwa yanaongozwa na viongozi wala rushwa.
 
Kaona anazidi kujiharibia tu bora apite hivi. Huyu mzee alifikiri angekiharibia chadema, akasanda kuwa anazidi kukiongezea umaarufu
 
Nimeamini TZ tunavijana mazuzu aisee!! mijitu inafarijiana na ugoro huku ikifuata mkumbo ujinga du!

Ni kweli huo uzuzu wamepewa na ccm na kupitia uzuzu huo huo kura zao zitaenda kwa LOWASA kweli wameichoka ccm.
nawewe jitafakari uchukue hatua maana unaweza kuta wewe ndo bibi la mazuzu.
 


Alafu Mbaya eti Kamanda wa vita ya Ukombozi anaamua kufa na mtu au watu wawili walioamua kujumuika na yeye kwenye vita -walioitwa wapumbafu na Malofa na upande wa pili.

Haijapata kutokea Tz-Mawaziri wakuu kuhaimia Upinzani !.Huu sindiyo mwanzo mzuri maana kama kweli ni wezi Serikali imara ingewachukulia hatua za Kuashitaki kwa Ufisadi wao wakati wakiwa Madarakani-si ndiyo namna bora ya kuwa komoa Wapumbafu na Malofa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…