William Malecela @New York City ubunge East Afrika unabisha mlangoni

Gaijin,

nimecheka kweli....acha majungu mtu wangu.
Kuhusu Willy na akina Shy-rose nilishaandika.Tuwaunge mkono.Nilaindika sana kwenye ile thread nyingine pamoja na kutukanwa sana.Naendelea kuomba tuwaunge mkono watu ambao wanweza kuwakilisha mawazo yetu EAC .tutangulize maslahi ya taifa mbele

Asante, ila mkuu una utani mbaya sana !You have made my day.....

Interesting. Kwa vile wewe ni mtu wa diplomasia vipi sasa tamko lake kuwa yeye sio mtu wa diplomasia na hata-entertain diplomasia huko EAC?
 
Interesting. Kwa vile wewe ni mtu wa diplomasia vipi sasa tamko lake kuwa yeye sio mtu wa diplomasia na hata-entertain diplomasia huko EAC?

Lile tamko lake tunaweza kuli-shape liweze kuwa fit katika principlse za Diplomacy. Unapoongelea national Interest katika medani za siasa za kimataifa ni lazima uongelee Diplomacy. Na Diplomacy haiwezi kufanya kazi bila kuwa na millitary background.misimamo yake na mtazamo wake huu tunaweza kuugeuza kuwa chanya.we can shape his stance as a millitary background huku wawakilishi wetu wengine waki-apply diplomacy kupigania maslahi yetu.Ni suala la mipangilio tu

Ndiyo maana na sema tumuunge mkono kama kuna mapungufu madogo JF na wanazuoni wengine tunaweza kuwa katika position ya kumuimarisha.
 
asiende kuropoka kama lusinde
alivyoongea Dr. kuwa JMK amefanya urais kuwa kazi rahisi ndipo nilipostuka. Bali sikujua kuwahili litashuka mpaka kwenye uwaziri, ubunge, ukatibu kati hawa ujumbe wa nyumba 10.

Ngoja nisichangie sana hapa kwa maana hadi sasa nashindwa kuelewa vigezo vinavyotumika kuwapata hawa wabunge wa EAC! ...au ni zawadi kwa 'washirika'?? Hapa naona Aman Kaborou alitoka cdm akazawadiwa hizi nafasi!

hana nidhamu huyu mtu hapendi kukosolewa kabisa jana nlimwambia fb acha kuuza sura kama wanamuziki wa bongo fleva baada ya ku upload picha yupo na j.k eti akanibrock

POINT!SPEAK IT LOUD!
Wana jf na watanzania hawajamshtukia huyu jamaa!
Hapa jf,ukichokonoa tu,utakuta thread haifunguki,ikifunguka tu post yako huioni!
Malecela junior(ASHAKUM SI Matusi) naweza kumfananisha na Adolf Hitler!
Ukiondoa ukatili na unyama,Wawili hawa wanafanana kwa nguvu ya ushawish.
Historia inaonesha Adolf alikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi,na kufanya wajerumani wamchague kwenye sanduku la kura(Hakuingia kwa mapinduz),lakini ukatili wake anaweza kwenda ligi na shetani.
NAMAANISHA,Nguvu ya ushawish isitushawish kumwamini ki hvyo huyu jamaa.
NI MTAZAMO WANGU TU!
MODS,naomba muivumilie hii,msiitoroshe.
 
ukitembea na mwizi na wewe utakuwa mwizi tu hivi ndivyo waswahili wasemavyo huyu ndugu yetu katika ukurasa wake wa facebook naona ka upload picha akiwa na EL huku akiandika kidumu chama cha mapinduzi. Majibu nadhani tumeyapata huyu kuzi hatufai
 
Hayawi hayawi na leo bado kidogo yanakuwa, baada ya William Malecela @ New York City kupita vihunzi vya awali katika kugombea ubunge wa Afrika mashariki, na hivyo amebakisha kihunzi cha mwisho kupita bila kupingwa kuwa Mbunge kupitia mgongo wa babake chama cha CCM. Hii itajithihirisha tulichaokuwa tunaongelea hapa mara nyingi mbio za CCM kupokezana vijiti kutoka babu, mtoto na hadi mjukuu kuachiana nafasi. Ingwa kule Arusha safari hii wamewashtukia hadi mkwe wa Lowasa kuangukia pua aka mwanguko wa Mende.
wewe ni Deo F. mbunge wa Ludewa mbona una mdis ccm mwenzako? kweli ccm kuna makundi au sijui ndio uwazi na ukweli
 
Ninawasihi hao waliobaki kwenda kugombea ubunge wa E.A. kule Dodoma wakomae kama walivyokomaa pale Karimjee kuwa kura zao zihesabiwe wakiwepo wawakilishi wao ama sivyo mkimsikia bibi kiroboto anasema mumuamini atachagua yeye watu wa kuzihesabu kura mjue wanataka kuchakachua ili wawape ubunge watu wao!! Kataeni kabisa lazima muwe na wawkilishi wenu kwenye kuhesabu.
 
Lile tamko lake tunaweza kuli-shape liweze kuwa fit katika principlse za Diplomacy. Unapoongelea national Interest katika medani za siasa za kimataifa ni lazima uongelee Diplomacy. Na Diplomacy haiwezi kufanya kazi bila kuwa na millitary background.misimamo yake na mtazamo wake huu tunaweza kuugeuza kuwa chanya.we can shape his stance as a millitary background huku wawakilishi wetu wengine waki-apply diplomacy kupigania maslahi yetu.Ni suala la mipangilio tu

Ndiyo maana na sema tumuunge mkono kama kuna mapungufu madogo JF na wanazuoni wengine tunaweza kuwa katika position ya kumuimarisha.

Uliona "GNDP per capiter", unaweza kuitetea ile nayo?
 
Mnamchambua sana kuku hamuwezi kumla jamani eeeh!. Hivi Obama anaweza kuwa hata mbunge wa Tz kwa vigezo vyenu maana alikuwa mvuta bangi...
 
Mnamchambua sana kuku hamuwezi kumla jamani eeeh!. Hivi Obama anaweza kuwa hata mbunge wa Tz kwa vigezo vyenu maana alikuwa mvuta bangi...

Hata wewe nawe unatetea "GNDP per capiter".

Mshkaji wako New York miaka yote alikuwa anawasiliana vipi na watu? Au ndio zile za kujipachika kwenye pockets za immigrants wasiojua kitu nobody knows the difference?
 
Mh! kumbe kuna ushkaji kwenye kuteteana!!!!i mean kwa hawa majamaa wanaomfagilia huyu kilaza....no wonder!!now i get the full picture....nakufagilia ukipata nami unifagilie...this is TZ bana.......
 
Hata wewe nawe unatetea "GNDP per capiter".

Mshkaji wako New York miaka yote alikuwa anawasiliana vipi na watu? Au ndio zile za kujipachika kwenye pockets za immigrants wasiojua kitu nobody knows the difference?
Kidogo umeniacha nje hapa mkuu wangu, hapo juu una maana gani?
 
Uliona "GNDP per capiter", unaweza kuitetea ile nayo?

Hata wewe nawe unatetea "GNDP per capiter".

Mshkaji wako New York miaka yote alikuwa anawasiliana vipi na watu? Au ndio zile za kujipachika kwenye pockets za immigrants wasiojua kitu nobody knows the difference?

Shonzi vipi aisee........naona kila ukiibuka unamchana jamaa......I hope atakuja kuomba suluhu kama alivyofanya kipindi fulani kwa "Dr.WHO"..........

BTW......yule ndugu yako Pundit alisharudi toka kimanzichana?.....mwambie siku hizi hapa kuna watu wanaleta story za GOGOVIVU style........na hivyo inabidi wachanwe tu....lol
 
Hata wewe nawe unatetea "GNDP per capiter".

Mshkaji wako New York miaka yote alikuwa anawasiliana vipi na watu? Au ndio zile za kujipachika kwenye pockets za immigrants wasiojua kitu nobody knows the difference?

- Leo Asubuhi tuliruka na kupeleka kampeni yetu Arusha for the whole day, na sasa tumerudi Dar tunaelekea Zanzibar na kmapeni zaidi na tutarudi usiku wa leo, kesho tutakwua kwenye maelezo zaidi makao makuu ya CCM Lumumba, na then tutaanza kuelekea Dodoma, tayari kwa lala salama!

- Popote tunapoipita kampnei yetu inakubalika sana na we are humbled sana na jinsi wananchi wa kawaida wanavyotukubali, kule Arusha ilikuwa balaaa sana leo, MUNGU AWABARIKIE SANA!, otherwise, maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge, wengine tumekaataa kulia lia tu, tumeamua kuingia huko wenyewe ili tukabadili mambo,

WAKUU WOTE HESHIMA SANA TUPO NJIANI KWENDA ZANZIBAR, kuonana na wapiga kura wa kweli, sio wapiga debe for nothing, muwe na usiku mwema people!

William.
 
Kiranga una vituko wewe.

Mie swali langu ni kuwa akipita je ina maana Mama (FMES) atakuwa @NY na Mheshimiwa atakuwa @EAC au itabidi makazi yaamie Mvumi kwa wote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom