William Malecela @New York City ubunge East Afrika unabisha mlangoni

hana nidhamu huyu mtu hapendi kukosolewa kabisa jana nlimwambia fb acha kuuza sura kama wanamuziki wa bongo fleva baada ya ku upload picha yupo na j.k eti akanibrock
yah man jamaa mtoto mtoto kiakili sana....hata hapa ukimzidi kwa hoja...anaingia na ile ID yake ya FMES kujibu ki lusinde Lusinde......
yaani sipati picha kama jamaa atapita....kilaza kama huyu kwa kweli atatupeleka wapi jamani???? hivi hii serikali ya wevi wa ccm jamani jamani hawaoni hata hii.......??

ni bora p funky majani awe mbunge wa EAC kuliko hii kilaza......naumia sana roho
 
Kwenye RED hapo mkuu una maana yule a.k.a mzee wa green vegetable?
 
yah man jamaa mtoto mtoto kiakili sana....hata hapa ukimzidi kwa hoja...anaingia na ile ID yake ya FMES kujibu ki lusinde Lusinde......
yaani sipati picha kama jamaa atapita....kilaza kama huyu kwa kweli atatupeleka wapi jamani???? hivi hii serikali ya wevi wa ccm jamani jamani hawaoni hata hii.......??

ni bora p funky majani awe mbunge wa EAC kuliko hii kilaza......naumia sana roho

- Yupo on the way to Zanzibar kuonananna wapiga kura wa kweli, sio wanafiki waliojaa chuki na wivu kwa maneno mengine waliokata tamaaa!, Tanzania tunahitaji watu wenye uthubutu na kujaribu sio kulia lia kama crying babies! ha! ha! ha! Jamaa hata akikosa ubunge ndio imetoka hiyo ukiingia kwenye jungu kuuu hakukosi ukoko, so jiunge nao au tubali kulia lia hapa! wengine wanaondoka, kilaza anazidi wewe unayepiga mke? ha! ha! ha! ha! ha!

Es!
 
yah man jamaa mtoto mtoto kiakili sana....hata hapa ukimzidi kwa hoja...anaingia na ile ID yake ya FMES kujibu ki lusinde Lusinde...
Usipate taabu, majina hayo ni makubwa na ni "genes" za Dodomiya...afadhali Lusinde wetu, tunaye hapa hapa nyumbani! Lakini EAF? Hapo imekula kwetu, kaazi kweli kweli...!
 
- PhD ya kupiga mke na kulala jela huku watu wanajirusha na mke, what a PhD! ha! ha! ha!

Es!

Jela mie sijaiona, mahakama hata kwa traffic offence sijaiona. That's how we roll.

Mie sina mke, wewe tushakuzoea ukiambiwa ukweli kwamba uwezo huna huishi kuwazushia watu story ziso kichwa wala miguu.

Halafu story zako usivyo aibu unapandikiza uchizi wako kwa wenzako. Kisha mwingi wa kudanganya mwepesi wa kusahau, story moja hiyo hiyo utawapandikizia watu watatu tofauti katika thread moja. Ndiyo maana kuna mtu alisema kuna haja upimwe akili.

Kwa mfano, aliyeacha mke wenzake wajirushe kati yangu mie ambaye sina mke, na wewe uliyeikimbia familia yako New York ni nani?

Wewe uliyekimbia child support New York na mie nisiye mke nani kaacha mke wake watu wajirushe naye? Au unaweza kutuambia mke wako yuko wapi saa hizi?
 
Msifikirie kuwa hawa wabunge wa ccm ni wajinga kiasi hicho; hawa wabunge wanajua kuwa huyu William baba yake na mama yake wa kambo wana zile hela za EPA alizowahi kutueleza Sophia Simba, hivyo basi ili nao wazile hizo hela ndio maana wakampitisha ili asonge mbele na wazidi kuzila hizo fedha na watakapofika kule bungeni ndiko watakakomchinjia baharini na huku mshiko wamepata!! Kule bungeni huyu mbeba box kupita itakuwa sawa na Serengeti boys kushinda premier league ya uingereza!!
Jamaa kasahau kuwa kule bungeni ndio swimming pool ya EL & Co na bahari aliwahi kumnanga EL sasa naona EL anamsubiri na visu vyake vikali anchinjilie mbali baharia wa kwa Obama na ngoja tununue popcorn tuzidi kuangalia hii movie
 
Hafai kabisa huyu jamaa. He's so full of himself and his privileged family background, and can't be trusted at all. Pamoja na yote, sijaona hata mchango wake mmoja kwenye masuala ya kimataifa (achilia mbali yale yanayohusiana na Afrika Mashariki kiujumla) kwenye JF, zaidi ya kumwaga absolutely petty bits of insider info anazopenda kuziita "dataz" za dizaini ya nani kala nini au kanywa nini kwenye tafrija na vikao vya CCM alivyoambiwa na sijui babake au mamake wa kambo kwa simu au labda hata barua pepe.
 
Nape alifunga safari miezi michache iliyopita kwenda Marekani akianzia Texas na ikaishia New York City kwa ze baharia ambako mpango ya kugombea ubunge huo ilikoanzishwa. Baadaye safari zisizolazima za baba na mama wa kambo zilishamiri kumpa moyo wa kujiamimi kugombea. Ukimya Jamii forums ilikuwa ni dalili za kuzidiwa na majukumu ya kuandaa mikakati na kampeni za ambazo zitahitimishwa punde tu huko Dodoma.

Hatuna chuki na ze Baharia @ New York City, ila tu dhana ya kuchomolewa tu toka nje bila kujali mazingira aliyoishi mtu na majukumu anayotazamiwa kuwa nayo ni jambo la kujadili kuona ukweli wa hali halili. Sidhani mtu kama (Sikonge) uchomoke kiulaini na kugombea nafasi kama hiyo wakati ukiishi kama mhamiaji wa visiwa vya Comoro ungeulizwa maswali mengi hadi ukate tamaa. Hapa kinachompa nguvu bila kificho ni itikadi za mbio za kupokezana vijiti.

Cha msingi tunakutakia mafanikio ze Baharia kwa vile ni mzawa wa Jamii forums na wengi tunamfahamu. Na tunachojadili hapa si kama wewe kama William Malechela binafsi, ila mfumo na makandokando yake ambayo yanafanya wenyengine wenye nafasi na sifa kuenguliwa kwa sababu zi wafukuza upepo wa kupokezana vijiti.
 
- Leo Asubuhi tuliruka na kupeleka kampeni yetu Arusha for the whole day, na sasa tumerudi Dar tunaelekea Zanzibar na kmapeni zaidi na tutarudi usiku wa leo, kesho tutakwua kwenye maelezo zaidi makao makuu ya CCM Lumumba, na then tutaanza kuelekea Dodoma, tayari kwa lala salama!

- Popote tunapoipita kampnei yetu inakubalika sana na we are humbled sana na jinsi wananchi wa kawaida wanavyotukubali, kule Arusha ilikuwa balaaa sana leo, MUNGU AWABARIKIE SANA!, otherwise, maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge, wengine tumekaataa kulia lia tu, tumeamua kuingia huko wenyewe ili tukabadili mambo,

WAKUU WOTE HESHIMA SANA TUPO NJIANI KWENDA ZANZIBAR, kuonana na wapiga kura wa kweli, sio wapiga debe for nothing, muwe na usiku mwema people!

William.

Binafsi ningekushauri ungegombea uwakilishi kule ulikoishi miaka mingi kwa vile unajua shida na matatizo ya watu wa pale Mount Vernon New York city, na wengi unawajua na wanakufahamu. Lakini East Africa ulitakiwa uje uishi kwanza muda fulani ili uwajue wananchi unaowawakilisha. Maana hukuwa Mount Vernon kama mkimbizi wa kisiasa bali wa kiuchumi, hivyo kisiasa ungekuja uishi na kuyajua maisha ya unaotaka kuwatumikia. Thanks
 
Jela mie sijaiona, mahakama hata kwa traffic offence sijaiona. That's how we roll.

Mie sina mke, wewe tushakuzoea ukiambiwa ukweli kwamba uwezo huna huishi kuwazushia watu story ziso kichwa wala miguu.

Halafu story zako usivyo aibu unapandikiza uchizi wako kwa wenzako. Kisha mwingi wa kudanganya mwepesi wa kusahau, story moja hiyo hiyo utawapandikizia watu watatu tofauti katika thread moja. Ndiyo maana kuna mtu alisema kuna haja upimwe akili.

Kwa mfano, aliyeacha mke wenzake wajirushe kati yangu mie ambaye sina mke, na wewe uliyeikimbia familia yako New York ni nani?

Wewe uliyekimbia child support New York na mie nisiye mke nani kaacha mke wake watu wajirushe naye? Au unaweza kutuambia mke wako yuko wapi saa hizi?

- Well, nimemaliza kuongea sasa hivi na watoto wangu wapo sawa kabisa na wanendelea na shule, ambayo ninawalipia pamoja na kwamba nipo huku nyumbani, kuachana na mke unless mimi ndio wa kwanza! ha! ha! ha! ha!,

- Otherwise ndio kwanza nimemaliza interview ya maswali na majibu kule Radio Uhuru, sasa hivi ninaenda kwenye kuaga mwili wa Marehemu Mahundi, Karimjeee na later nitakuwa Radio Clouds kuendelea na kampeni, uwe na amani sana kwamba tutaiwakilisaha Tanzania ipasavyo tukipewa nafasi huko!

William.
 
Binafsi ningekushauri ungegombea uwakilishi kule ulikoishi miaka mingi kwa vile unajua shida na matatizo ya watu wa pale Mount Vernon New York city, na wengi unawajua na wanakufahamu. Lakini East Africa ulitakiwa uje uishi kwanza muda fulani ili uwajue wananchi unaowawakilisha. Maana hukuwa Mount Vernon kama mkimbizi wa kisiasa bali wa kiuchumi, hivyo kisiasa ungekuja uishi na kuyajua maisha ya unaotaka kuwatumikia. Thanks

- Nimekusikia sana kwamba Mandela labda angegombea Urais wa wafungwa baada ya kuakaa miaka 27 jela na akatoka na kuwa Rais, yalikuwa ni makosa sana kwamba Ayatollah hakupaswa kuwa Rais wa Iran baada ya kuishi France kwa muda mrefu sana, ndio hii maita great thinking mpaka unaiweka kwenye public!

William.
 
- Yupo on the way to Zanzibar kuonananna wapiga kura wa kweli, sio wanafiki waliojaa chuki na wivu kwa maneno mengine waliokata tamaaa!, Tanzania tunahitaji watu wenye uthubutu na kujaribu sio kulia lia kama crying babies! ha! ha! ha! Jamaa hata akikosa ubunge ndio imetoka hiyo ukiingia kwenye jungu kuuu hakukosi ukoko, so jiunge nao au tubali kulia lia hapa! wengine wanaondoka, kilaza anazidi wewe unayepiga mke? ha! ha! ha! ha! ha!

Es!

Retard
 
Mkuu kimsingi sioni hoja yako hapa zaidi ya chuki binafsi....

Hoja ipo kwa nini atoke marekani aje kugombea ubunge afrika mashariki? Tunataka non-partisan wawakilishi na si partisan ikijagunguliwa kama baba yake alipokuwa EAC alihusika kuivunja si atazima ili babake abakie salama bila kubughudhiwa (cover up) ndiyo mtindo wa kiafrika. Halafu jamani USULTANI NA UFALME TULISHAUVUNJA CCM WANAPENDA KUURUDISHA, VIBAYA HIVO!
 
Kiranga una vituko wewe.

Mie swali langu ni kuwa akipita je ina maana Mama (FMES) atakuwa @NY na Mheshimiwa atakuwa @EAC au itabidi makazi yaamie Mvumi kwa wote?

- Well, vipi mwanaume muafrika kuachwa na mke na akachukuliwa na Mzungu, inasema mengi sana kuhusu aliyeachwa!

William.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom