William Malecela Baharia mbona kimya

chama

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
8,001
2,418
Tupe taarifa za ziara yako naona upo kimya sana kulikoni!! Tunasubiri kwa hamu au ndio tuseme kimya kingi kina mshindo mkuu!!


Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Yuko bize ana practise kusema NDIYOOOOO bungeni wewe huoni surname yake.
 
Yuko bize ana practise kusema NDIYOOOOO bungeni wewe ni surname yake.

Mwacheni shemeji yangu Baharia LeMutuzz the Show anakaula bata Qbar na matotozzzz ya bongo, kwanza baharia alipata likizo baada ya lori lake kupata itilafu likiwa limebeba cynide H3S04..Na....Be12
 
Si lazima uchangie! William ni mwanasiasa hakuna sababu ya kutomjadili.

Chama
Gongo la Mboto DSM
Ameanza siasa lini au baada ya kusema atagombea ubunge ili jina la baba yake lisipotee ndiyo gafla kawa mwanasiasa? Usituharibie siku bana.........
 
Yupo na best wake Nape Mnauye akipewa maelekezo namna ya kumwondoa Lusinde uchaguzi ujao, hana muda na JF wakati ana majukumu mazito ya kujenga misingi ya kutetea jimbo alilonyang;anywa babake. Kazi ipo.
 
Back
Top Bottom