William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

Lukuvi ajipange sana, tuvute muda Nina hakika hawataiva ... na naibu Spika msomi,
mm naona Azan Zungu au hata Mwanasheria Andrea Chenge hawayumbi, wakati wa upinzani Zungu alikubali hata hoja za upinzani km Zina mashiko na kwa Mwendazake hakutaka kabisa nitamshangaa Msigwa km atampigia debe Chenge au Lukuvi hawezi pata mvumilivu kn
ZUNGU AZAN wa Ilala
 
4-1-2022
kati ya saa tatu hadi saa tano unusu usiku
William Lukuvi anafanya majadiliano na baadhi ya vijana wa Dar es Salaam baadhi wakiwa watumishi wa serikali eneo la Masaki na katika maongezi mmoja wao kwa jina la William Ndaki anauliza itakuwaje kama Rais atamtengua nafasi ya Uwaziri.

Siku mbili baadaye maeneo haya kinafanyika kikao kilichompa wazo William Lukuvi alikuwa akifanya mazungumo ya simu asubuhi saa nne na dakika kumi na baadaye mazungumzo ya ana kwa ana mchana na Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda.

William Lukuvi anaomba miadi na Kwa Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kumueleza kuwa anafahamu kuwa tayari yeye ni tatizo amechafuka baada ya Rais kusema anafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri.

Anaeleza kuwa anachotaka yeye ni Mizengo Pinda kumuhakikishia kuwa endapo atachukua fomu ya Uspika jina lake litarudi kutoka kamati kuu na kuwa mgombea wa nafasi ya Uspika endapo atatemwa kwenye baraza la Mawaziri.

Mizengo Pinda anamuomba muda ili apate nafasi kumjibu. Usiku wa siku inayofuata tarehe 7-1-2022 wanazungumza na Stephen Wasira na mkutano mwingine unapangwa.

Mtaa wa Mwangosi Dodoma zilipo baadhi nyumba za Lukuvi wanakutana Geoffrey Mwambe, Luhaga Mpina, Job Ndugai, Leornad Chamuriho pamoja na Lukuvi mwenyewe ndipo walipokutania. Kwa mara ya kwanza wanakutana na kumpa pole Aliyekuwa spika Job Ndugai.

8-1-2022
Mkutano wa pili unafuata kati ya Lukuvi na Kabudi, Lukuvi anapewa go ahead kugombea Uspika na mratibu wa kampeni ni Luhaga Mpina anakabidhiwa kazi hiyo.

08-1-2022
Lukuvi anaanza mawasiliano na Wajumbe wa NEC akitumia mmoja ya wanawake ambao amekuwa na uhusiano nao wa kimapenzi bungeni, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 38 ni mjumbe wa NEC kutoka kanda ya Kati.

Mjumbe anaeleza kuwa anataka bajeti milioni 150 kwa ajili ya wajumbe na siku hiyohiyo anaanzisha group sogozi la whatsapp kwa Siri anaanza kuwaadd watu wa karibu Na Lukuvi Bungeni ambao wengi wao ni wabunge. bahati mbaya anamuadd Mbunge mmoja ambaye ni kitengo bila kujua.

Mchana wa tarehe 8-1-2022.

Lukuvi na mwanae wanashauriana kutafuta watu wa kumsaidia kwenye mitandao ya kijami anamueleza lengo lake Na Mtoto wa Lukuvi anakutana na Gladness Lyamuya anamuunganisha na KAWI SHAYO na wanataka kawi atumie akaunti zake za instagram kusifia kazi za Lukuvi kwa sasa.

Lukuvi anasema anaweza kumpa milioni 15 kwa kazi hiyo tayari mwanadada ameshaanza kazi na hela zimeweka kupitia equity bank. Huyu kawi ndiyo mwenye akaunti ya Originaleast zamani sasa ana akaunti inaitwa Politics mtandao wa insta.

Alfajiri ya tarehe 9-1-2022 kupitia Group la Whatsapp. Lukuvi, Job, Mwambe, kabudi, Mpina, Kalemani, Chamuriho wameanza kuchangishana Pesa ili Lukuvi Awe Spika".

Asubuhi ya leo Lukuvi bila kujua anarekodiwa ameenda nyumbani kwa Frank Mtei kumuomba pesa azungumze na shabiby pamoja na matajiri wengineo wa Dodoma kwa ajili ya mbio za Uspika.

Ntawajuza zaidi.
Endeleeni kumramba makalio huyu maza mtajua hamjui baadae.
 
Jiwe alilolikataa Mama kiguu anaenda kukutana na katika Mhimili unaoisimamia Serikali likiwa kama Spika wa Bunge, Lukuvi ni Mtu na Nusu
 
Wewe ni mtu hatari sana. Tunaendelea kutega sikio
 
Ni wachache ndio wataweza kugundua kuwa ulichoandika ni FITINA na PROPAGANDA za KISIASA hasa baada ya Jamaa Kutajwa sana mitandaoni kuhusu nafasi ya Spika.

Ni wachache sana watabaini kuwa Lukuvi tayari ni Tishio ktk hiyo KAMBI YAKO
 
Hawa watu ndivyo wanatafutaga madaraka. Huyu lukuvi ex std seven anataka kua speaker. Hata kama kajiendeleza kielimu hana darasa linajulikana zaidi ya kua na vyeti feki. Uspika tunahitaji japo elimu ya chuo kikuu. Kuna naibu speaker msomi sijui wanahangaka nini. Kama ni mtu mwingine mzee kabudi apewe hiyo nafasi sio hawa watu wa madili.
Lukuvi licha ya kushika nafasi kubwa wanataka wao tu waongoze milele.
Binafsi ningeshauri hiyo nafasi apewe kabudi ili nchi iweze kuendelea kunufaika na weledi wake kwenye sheria na uzalendo wake kwa taifa.
Kabudi hafai kabisa aende akale hela walizohongwa za Makinikia; mpaka leo hatujui hatma yake!
Hiyo kazi ya Spika wampe Chenge kama wanataka bunge liheshimiwe.
 
4-1-2022
kati ya saa tatu hadi saa tano unusu usiku
William Lukuvi anafanya majadiliano na baadhi ya vijana wa Dar es Salaam baadhi wakiwa watumishi wa serikali eneo la Masaki na katika maongezi mmoja wao kwa jina la William Ndaki anauliza itakuwaje kama Rais atamtengua nafasi ya Uwaziri.

Siku mbili baadaye maeneo haya kinafanyika kikao kilichompa wazo William Lukuvi alikuwa akifanya mazungumo ya simu asubuhi saa nne na dakika kumi na baadaye mazungumzo ya ana kwa ana mchana na Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda.

William Lukuvi anaomba miadi na Kwa Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kumueleza kuwa anafahamu kuwa tayari yeye ni tatizo amechafuka baada ya Rais kusema anafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri.

Anaeleza kuwa anachotaka yeye ni Mizengo Pinda kumuhakikishia kuwa endapo atachukua fomu ya Uspika jina lake litarudi kutoka kamati kuu na kuwa mgombea wa nafasi ya Uspika endapo atatemwa kwenye baraza la Mawaziri.

Mizengo Pinda anamuomba muda ili apate nafasi kumjibu. Usiku wa siku inayofuata tarehe 7-1-2022 wanazungumza na Stephen Wasira na mkutano mwingine unapangwa.

Mtaa wa Mwangosi Dodoma zilipo baadhi nyumba za Lukuvi wanakutana Geoffrey Mwambe, Luhaga Mpina, Job Ndugai, Leornad Chamuriho pamoja na Lukuvi mwenyewe ndipo walipokutania. Kwa mara ya kwanza wanakutana na kumpa pole Aliyekuwa spika Job Ndugai.

8-1-2022
Mkutano wa pili unafuata kati ya Lukuvi na Kabudi, Lukuvi anapewa go ahead kugombea Uspika na mratibu wa kampeni ni Luhaga Mpina anakabidhiwa kazi hiyo.

08-1-2022
Lukuvi anaanza mawasiliano na Wajumbe wa NEC akitumia mmoja ya wanawake ambao amekuwa na uhusiano nao wa kimapenzi bungeni, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 38 ni mjumbe wa NEC kutoka kanda ya Kati.

Mjumbe anaeleza kuwa anataka bajeti milioni 150 kwa ajili ya wajumbe na siku hiyohiyo anaanzisha group sogozi la whatsapp kwa Siri anaanza kuwaadd watu wa karibu Na Lukuvi Bungeni ambao wengi wao ni wabunge. bahati mbaya anamuadd Mbunge mmoja ambaye ni kitengo bila kujua.

Mchana wa tarehe 8-1-2022.

Lukuvi na mwanae wanashauriana kutafuta watu wa kumsaidia kwenye mitandao ya kijami anamueleza lengo lake Na Mtoto wa Lukuvi anakutana na Gladness Lyamuya anamuunganisha na KAWI SHAYO na wanataka kawi atumie akaunti zake za instagram kusifia kazi za Lukuvi kwa sasa.

Lukuvi anasema anaweza kumpa milioni 15 kwa kazi hiyo tayari mwanadada ameshaanza kazi na hela zimeweka kupitia equity bank. Huyu kawi ndiyo mwenye akaunti ya Originaleast zamani sasa ana akaunti inaitwa Politics mtandao wa insta.

Alfajiri ya tarehe 9-1-2022 kupitia Group la Whatsapp. Lukuvi, Job, Mwambe, kabudi, Mpina, Kalemani, Chamuriho wameanza kuchangishana Pesa ili Lukuvi Awe Spika".

Asubuhi ya leo Lukuvi bila kujua anarekodiwa ameenda nyumbani kwa Frank Mtei kumuomba pesa azungumze na shabiby pamoja na matajiri wengineo wa Dodoma kwa ajili ya mbio za Uspika.

Ntawajuza zaidi.
Hizi ramli kama ramli zingine tu.
 
Ni wachache ndio wataweza kugundua kuwa ulichoandika ni FITINA na PROPAGANDA za KISIASA hasa baada ya Jamaa Kutajwa sana mitandaoni kuhusu nafasi ya Spika.

Ni wachache sana watabaini kuwa Lukuvi tayari ni Tishio ktk hiyo KAMBI YAKO
Kambi ya Msoga ya fitina ikiomgozwa na NCHIMBI anayewania hiyo nafasi pia.
 
4-1-2022
kati ya saa tatu hadi saa tano unusu usiku
William Lukuvi anafanya majadiliano na baadhi ya vijana wa Dar es Salaam baadhi wakiwa watumishi wa serikali eneo la Masaki na katika maongezi mmoja wao kwa jina la William Ndaki anauliza itakuwaje kama Rais atamtengua nafasi ya Uwaziri.

Siku mbili baadaye maeneo haya kinafanyika kikao kilichompa wazo William Lukuvi alikuwa akifanya mazungumo ya simu asubuhi saa nne na dakika kumi na baadaye mazungumzo ya ana kwa ana mchana na Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda.

William Lukuvi anaomba miadi na Kwa Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kumueleza kuwa anafahamu kuwa tayari yeye ni tatizo amechafuka baada ya Rais kusema anafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri.

Anaeleza kuwa anachotaka yeye ni Mizengo Pinda kumuhakikishia kuwa endapo atachukua fomu ya Uspika jina lake litarudi kutoka kamati kuu na kuwa mgombea wa nafasi ya Uspika endapo atatemwa kwenye baraza la Mawaziri.

Mizengo Pinda anamuomba muda ili apate nafasi kumjibu. Usiku wa siku inayofuata tarehe 7-1-2022 wanazungumza na Stephen Wasira na mkutano mwingine unapangwa.

Mtaa wa Mwangosi Dodoma zilipo baadhi nyumba za Lukuvi wanakutana Geoffrey Mwambe, Luhaga Mpina, Job Ndugai, Leornad Chamuriho pamoja na Lukuvi mwenyewe ndipo walipokutania. Kwa mara ya kwanza wanakutana na kumpa pole Aliyekuwa spika Job Ndugai.

8-1-2022
Mkutano wa pili unafuata kati ya Lukuvi na Kabudi, Lukuvi anapewa go ahead kugombea Uspika na mratibu wa kampeni ni Luhaga Mpina anakabidhiwa kazi hiyo.

08-1-2022
Lukuvi anaanza mawasiliano na Wajumbe wa NEC akitumia mmoja ya wanawake ambao amekuwa na uhusiano nao wa kimapenzi bungeni, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 38 ni mjumbe wa NEC kutoka kanda ya Kati.

Mjumbe anaeleza kuwa anataka bajeti milioni 150 kwa ajili ya wajumbe na siku hiyohiyo anaanzisha group sogozi la whatsapp kwa Siri anaanza kuwaadd watu wa karibu Na Lukuvi Bungeni ambao wengi wao ni wabunge. bahati mbaya anamuadd Mbunge mmoja ambaye ni kitengo bila kujua.

Mchana wa tarehe 8-1-2022.

Lukuvi na mwanae wanashauriana kutafuta watu wa kumsaidia kwenye mitandao ya kijami anamueleza lengo lake Na Mtoto wa Lukuvi anakutana na Gladness Lyamuya anamuunganisha na KAWI SHAYO na wanataka kawi atumie akaunti zake za instagram kusifia kazi za Lukuvi kwa sasa.

Lukuvi anasema anaweza kumpa milioni 15 kwa kazi hiyo tayari mwanadada ameshaanza kazi na hela zimeweka kupitia equity bank. Huyu kawi ndiyo mwenye akaunti ya Originaleast zamani sasa ana akaunti inaitwa Politics mtandao wa insta.

Alfajiri ya tarehe 9-1-2022 kupitia Group la Whatsapp. Lukuvi, Job, Mwambe, kabudi, Mpina, Kalemani, Chamuriho wameanza kuchangishana Pesa ili Lukuvi Awe Spika".

Asubuhi ya leo Lukuvi bila kujua anarekodiwa ameenda nyumbani kwa Frank Mtei kumuomba pesa azungumze na shabiby pamoja na matajiri wengineo wa Dodoma kwa ajili ya mbio za Uspika.

Ntawajuza zaidi.
Kampeni za majitaka na kuchafuana zimeanza, hii ni kutaka kumchafua Spika wetu mtarajiwa!. Fitna hii imefeli kabla haijaanza.
P
 
Nilijua kabisa kuwa Samia anatumia mbinu zilezile za Magufuli. Ukiwa waziri na ukitaka kuwa safe usimseme Samia kupitia Simu. Nenda moja kwa moja ukaongee ana kwa ana na unaetaka kuongea nae. Hata Uspeaker jina halitarudi.
Chuo walichowapitishwa watoto wa mjini wamehitimu.
 
Umeeleweka.

Waambie JWTZ watangaze ajira .

Back
Top Bottom