William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

4-1-2022
kati ya saa tatu hadi saa tano unusu usiku
William Lukuvi anafanya majadiliano na baadhi ya vijana wa Dar es Salaam baadhi wakiwa watumishi wa serikali eneo la Masaki na katika maongezi mmoja wao kwa jina la William Ndaki anauliza itakuwaje kama Rais atamtengua nafasi ya Uwaziri.

Siku mbili baadaye maeneo haya kinafanyika kikao kilichompa wazo William Lukuvi alikuwa akifanya mazungumo ya simu asubuhi saa nne na dakika kumi na baadaye mazungumzo ya ana kwa ana mchana na Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda.

William Lukuvi anaomba miadi na Kwa Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kumueleza kuwa anafahamu kuwa tayari yeye ni tatizo amechafuka baada ya Rais kusema anafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri.

Anaeleza kuwa anachotaka yeye ni Mizengo Pinda kumuhakikishia kuwa endapo atachukua fomu ya Uspika jina lake litarudi kutoka kamati kuu na kuwa mgombea wa nafasi ya Uspika endapo atatemwa kwenye baraza la Mawaziri.

Mizengo Pinda anamuomba muda ili apate nafasi kumjibu. Usiku wa siku inayofuata tarehe 7-1-2022 wanazungumza na Stephen Wasira na mkutano mwingine unapangwa.

Mtaa wa Mwangosi Dodoma zilipo baadhi nyumba za Lukuvi wanakutana Geoffrey Mwambe, Luhaga Mpina, Job Ndugai, Leornad Chamuriho pamoja na Lukuvi mwenyewe ndipo walipokutania. Kwa mara ya kwanza wanakutana na kumpa pole Aliyekuwa spika Job Ndugai.

8-1-2022
Mkutano wa pili unafuata kati ya Lukuvi na Kabudi, Lukuvi anapewa go ahead kugombea Uspika na mratibu wa kampeni ni Luhaga Mpina anakabidhiwa kazi hiyo.

08-1-2022
Lukuvi anaanza mawasiliano na Wajumbe wa NEC akitumia mmoja ya wanawake ambao amekuwa na uhusiano nao wa kimapenzi bungeni, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 38 ni mjumbe wa NEC kutoka kanda ya Kati.

Mjumbe anaeleza kuwa anataka bajeti milioni 150 kwa ajili ya wajumbe na siku hiyohiyo anaanzisha group sogozi la whatsapp kwa Siri anaanza kuwaadd watu wa karibu Na Lukuvi Bungeni ambao wengi wao ni wabunge. bahati mbaya anamuadd Mbunge mmoja ambaye ni kitengo bila kujua.

Mchana wa tarehe 8-1-2022.

Lukuvi na mwanae wanashauriana kutafuta watu wa kumsaidia kwenye mitandao ya kijami anamueleza lengo lake Na Mtoto wa Lukuvi anakutana na Gladness Lyamuya anamuunganisha na KAWI SHAYO na wanataka kawi atumie akaunti zake za instagram kusifia kazi za Lukuvi kwa sasa.

Lukuvi anasema anaweza kumpa milioni 15 kwa kazi hiyo tayari mwanadada ameshaanza kazi na hela zimeweka kupitia equity bank. Huyu kawi ndiyo mwenye akaunti ya Originaleast zamani sasa ana akaunti inaitwa Politics mtandao wa insta.

Alfajiri ya tarehe 9-1-2022 kupitia Group la Whatsapp. Lukuvi, Job, Mwambe, kabudi, Mpina, Kalemani, Chamuriho wameanza kuchangishana Pesa ili Lukuvi Awe Spika".

Asubuhi ya leo Lukuvi bila kujua anarekodiwa ameenda nyumbani kwa Frank Mtei kumuomba pesa azungumze na shabiby pamoja na matajiri wengineo wa Dodoma kwa ajili ya mbio za Uspika.

Ntawajuza zaidi.
Ameshakosea. Uspika hana. Amemu add kitengo tena! Bila shaka ndo huyu anayeandika haya.
 
Hajafika kwa Babu akapata kikombe cha uji?

Apitwe achekwe
IMG_3882.jpg

IMG_3883.jpg
 
KATIBA YA NCHI YAKO INASEMA

(1) Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na
Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au
wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge
na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje
ya Bunge.
(2) Waziri, Naibu Waziri au mtu mwenye madaraka ya aina
nyingine yoyote itakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa
madhumuni ya ibdara hii, hataweza kuchaguliwa kuwa Spika.
(3) Mtu yeyote atakayechaguliwa kuwa Spika atatakiwa, kabla
ya kumaliza siku kumi na tano tangu kuchaguliwa kwake,
kuwasilisha kwa Rais tamko rasmi kwamba hajapoteza sifa za
uchaguzi kwa mujibu wa masharti ya aya ya (d) ya ibara ndogo ya
(2) ya ibara ya 67. Tamko hilo litatolewa kwa kutumia fomu
maalum itakayowekwa kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na

Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba inaeleza mambo in brevity au in general term. Ukienda kwenye sheria nyinginezo ndo utakuta jambo limefafanuliwa kiundani.
 
Nimeangalia kwa mbaali saana naona mama kamuacha Lukuvi kwenye uwaziri ili akagombee uspika wa bunge kufuatia kujiuzulu kwa uncle Ayubi Ndugai.

Lukuvi ana experience kubwa sana kwenye mambo ya bunge ni mbunge mkongwe na mwanaccm kindaki ndaki hajaachwa kwa bahati mbaya.

Hakuna mwanaccm ndani ya bunge kwa Sasa atakae mshinda Lukuvi wakipambana kwenye sanduku la kura kwa wabunge wa Ccm

Karibu Willium Vaghing'embe Lukuvi mbunge wa Isimani kua spika mpya wa bunge Letu
Lukuvi hachukui form na hahitaji hicho kiti
 
Unajibu kwa utashi wako au kutumia vifungu vya katiba ?

Ebu kasome tena, sifa za mtu kuwa spika wa bunge la Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ulipoambiwa mwenye sifa ya kuwa mbunge hujui kwamba sifa za mtu kuwa mbunge zinakuwaje?

Kuna wabunge wa aina tatu yaani wakuchahuliwa,viti maalum na kuteuliwa. Wote hao lazima wawe wanachama wa chama cha kisiasa.
 
4-1-2022
kati ya saa tatu hadi saa tano unusu usiku
William Lukuvi anafanya majadiliano na baadhi ya vijana wa Dar es Salaam baadhi wakiwa watumishi wa serikali eneo la Masaki na katika maongezi mmoja wao kwa jina la William Ndaki anauliza itakuwaje kama Rais atamtengua nafasi ya Uwaziri.

Siku mbili baadaye maeneo haya kinafanyika kikao kilichompa wazo William Lukuvi alikuwa akifanya mazungumo ya simu asubuhi saa nne na dakika kumi na baadaye mazungumzo ya ana kwa ana mchana na Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda.

William Lukuvi anaomba miadi na Kwa Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kumueleza kuwa anafahamu kuwa tayari yeye ni tatizo amechafuka baada ya Rais kusema anafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri.

Anaeleza kuwa anachotaka yeye ni Mizengo Pinda kumuhakikishia kuwa endapo atachukua fomu ya Uspika jina lake litarudi kutoka kamati kuu na kuwa mgombea wa nafasi ya Uspika endapo atatemwa kwenye baraza la Mawaziri.

Mizengo Pinda anamuomba muda ili apate nafasi kumjibu. Usiku wa siku inayofuata tarehe 7-1-2022 wanazungumza na Stephen Wasira na mkutano mwingine unapangwa.

Mtaa wa Mwangosi Dodoma zilipo baadhi nyumba za Lukuvi wanakutana Geoffrey Mwambe, Luhaga Mpina, Job Ndugai, Leornad Chamuriho pamoja na Lukuvi mwenyewe ndipo walipokutania. Kwa mara ya kwanza wanakutana na kumpa pole Aliyekuwa spika Job Ndugai.

8-1-2022
Mkutano wa pili unafuata kati ya Lukuvi na Kabudi, Lukuvi anapewa go ahead kugombea Uspika na mratibu wa kampeni ni Luhaga Mpina anakabidhiwa kazi hiyo.

08-1-2022
Lukuvi anaanza mawasiliano na Wajumbe wa NEC akitumia mmoja ya wanawake ambao amekuwa na uhusiano nao wa kimapenzi bungeni, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 38 ni mjumbe wa NEC kutoka kanda ya Kati.

Mjumbe anaeleza kuwa anataka bajeti milioni 150 kwa ajili ya wajumbe na siku hiyohiyo anaanzisha group sogozi la whatsapp kwa Siri anaanza kuwaadd watu wa karibu Na Lukuvi Bungeni ambao wengi wao ni wabunge. bahati mbaya anamuadd Mbunge mmoja ambaye ni kitengo bila kujua.

Mchana wa tarehe 8-1-2022.

Lukuvi na mwanae wanashauriana kutafuta watu wa kumsaidia kwenye mitandao ya kijami anamueleza lengo lake Na Mtoto wa Lukuvi anakutana na Gladness Lyamuya anamuunganisha na KAWI SHAYO na wanataka kawi atumie akaunti zake za instagram kusifia kazi za Lukuvi kwa sasa.

Lukuvi anasema anaweza kumpa milioni 15 kwa kazi hiyo tayari mwanadada ameshaanza kazi na hela zimeweka kupitia equity bank. Huyu kawi ndiyo mwenye akaunti ya Originaleast zamani sasa ana akaunti inaitwa Politics mtandao wa insta.

Alfajiri ya tarehe 9-1-2022 kupitia Group la Whatsapp. Lukuvi, Job, Mwambe, kabudi, Mpina, Kalemani, Chamuriho wameanza kuchangishana Pesa ili Lukuvi Awe Spika".

Asubuhi ya leo Lukuvi bila kujua anarekodiwa ameenda nyumbani kwa Frank Mtei kumuomba pesa azungumze na shabiby pamoja na matajiri wengineo wa Dodoma kwa ajili ya mbio za Uspika.

Ntawajuza zaidi.
Aisee
 
Nothing, Nothing, Nothing, Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing Nothing.
 
Watu mnapiga domo.bila ushahidi ni kelele za kijinga tuuu.tupa kule
 
Back
Top Bottom