William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

hatuwezi kutengenezewa katiba na maccm,labda wakatengeneze yao pale lumumba,serikali dhaifu na wabunge dhaifu wa magamba hawawezi kututengenezea katiba ya kiccm ccm.CDM HAKIKISHENI WATANZANIA WANAPATA KATIBA WAITAKAYO,NA UMMA WA WATANZANIA UMEWAAMINI NA UPO NYUMA YENU

Umeelewa thread? Au wewe una paste popote comment zako bila kusoma????
 
kwa haya ya wabunge wa ccm kwa kutumia wingi wao vibaya....kuamua kubuluza upinzani natamani uchaguzi mkuu uwe kesho!
 
mi nafikiri mleta mada hajafuatilia hoja na ameileta kishabiki. Tundu Lisu kataja list yote iliyoteuliwa na raisi

hakuna jina la mzanzibar wote walikuwa wa bara. Chezea Tundu wewe!
 
nawachukia sana hawa ccm maana ni wanafki na wanatuona sisi wananchi ni wajinga hatujui lolote..
We waendelee kusubiri kidogo.
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA.

Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya.

Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli

Mbona Lissu simuoni uchi, siunasema amevuliwa nguo.. au ni dader yako kavuliwa umechanganya.
 
Mkuu, hakika LUKUVI ameongea kwa vielelezo na hivi sasa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji WEREMA anamalizia kukata roho ya TUNDU LISU
Aisee namwonea huruma huyu Lisu hajui kwamba Werema ni Mkurya na muuaji wa Mwangosi pia ni mkurya, ni vizuri akakimbia huyu jamaa hana utani.
 
Kamvua nguo ipi?? Hii habari imekaa KIKUDA sana, kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti.

Kwanza kwa akili ya Haraka Lukuvi darasa la saba anawezaje kuwa na hoja kumzidi Tundu Lissu aliyebobea kwenye sheria na anatambulika dunia nzima kwa umahiri. Mambo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa yako CCM tu...
.

Unadhani Mh. Lukuvi hajasoma kama Godbless Lema alivyo nini? Lukuvi ni Tembo chezea weyeeeeeeeeeee!
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA.

Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya.

Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli

sioni yeyote katika mawaziri au hata wabunge au wanaccm wanaoweza kwenda sawa na lissu kwa jambo lolote labda kwa mauzo ya sembe na wizi wa mali za umma hapo sawa.
 
kwa viwango vyao vya elimu na weledi ktk siasa nani anaweza kumvua nguo mwingine?
acha ushabiki wa kijinga
 
nahisi mtoa hoja ndio kavuliwa nguo mana kaandaka pumba. ccm kwisha gabari yenu.
 
Mawaziri kila kukicha wanadanya bunge, hila kwa Lissu ndio mnaweka pua kadanya wacheni hizo Lissu alijua kabisa ila alitaka kujua ukweli, huwezi jua ukweli kutoka kwa mwenye ukweli bila ujamwambia uongo kidogo akasirike na kutema ukweli.
 
nahisi mtoa hoja ndio kavuliwa nguo mana kaandaka pumba. ccm kwisha habari yenu.
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA.

Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya.

Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli

Masikio yako yalikuwa likizo wakati Tundu Lisu akizungumza ila Kilaza Ndugai amekusaidia kukupa jibu baada ya uyo Lukuvi kuomba eti Lisu apewe adhabu kwa kulidanganya bunge ila ameogopa hata kumuambia Lisu alete ushaidi ila ameamua kumpotezea Lukuvi kwa kuogopa kuumbuka.
 
Jaman hebu turuhusu akili zetu zifanye kazi. kwa maelezo ya Lukuvi tu inakujaje na hitimisho. Mie nsfikiri Lisu alipaswa kupewa nafasi ya kuthibitisha alichosema, km angeshindwa hapo ningekubaliana na hoja hii. Lakini hukumu yako imelalia zaidi kishabiki kuliko kimantiki.
 
Back
Top Bottom